Biashara gani naweza kuiganya kwa mtaji wa 2M

Kinyonga01

Member
Joined
May 22, 2023
Posts
85
Reaction score
295
Habari zenu wapwa poleni na Majukumu ya Kila siku.

Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu chuo mwaka huu katika Shahada ya Uchumi na Fedha (Bachelor Degree in economics and finance) kwenye Moja ya vyuo vya uhasibu hapa nchini.

Katika Maisha ya kusoma nilifanikiwa kufanya savings ya kiasi Fulani Cha pesa na baada ya kuhitimu Baba yangu mzazi Aliniongezea kiasi Cha pesa kwa Lengo la kufanya biashara nikisubiri Neema ya mwenyezi MUNGU ya kupata Ajira.

Nimekuja kwenye jukwaa hili kuomba ushauri kwa wazoefu ni biashara Gani naweza fanya kwa mtaji huu.

Naomba kuwasilisha[emoji3578][emoji1431]
 
Mkuu katika kozi yako ya finance hamna paper ya ujasiliamari (entrepreneur ship and project writing?) We graduate utashindwa je kubuni mradi mdogo mdogo wakufanya hapo umesomea ujinga, kwa kweli elimu yetu ni theory inahitaji overhaul
 
Mkuu katika kozi yako ya finance hamna paper ya ujasilamari and project writing? We graduate utashindwa je kubuni mradi wakufanya hapo umesomea ujinga, kwa kweli elimu yetu ni theory inahitaji overhaul
Mtu ana pesa ya ngama, akileta ujuaji wa chuo pesa zinapotea, ndo maana amekua mpole anaomba ushauri kwa watu ambao wapo field muda mrefu wanajua changamoto, sioni tatizo hapo
 
Tafuta chuo cha ufundi uongeze taaluma ya kazi za mikono.
 
Mkuu katika kozi yako ya finance hamna paper ya ujasiliamari (entrepreneur ship and project writing?) We graduate utashindwa je kubuni mradi mdogo mdogo wakufanya hapo umesomea ujinga, kwa kweli elimu yetu ni theory inahitaji overhaul
Elimu ya bongo ni Less Practical ....
NB nitalifanyia kazi mkuu [emoji1756]🫂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…