Biashara ya Kuchezesha Game haidanganyi cha muhmu Tatufa mtu ambye Ana Ps4 ambalo Halina shida nunua Hapo inaweza kata Kam Laki nne na nusu hivi, Tenga laki moja ya Ziada ununue pads mpya,
Laki tano Unanunua Tv kampuni Yyte ila nakushauri Kampuni ya Samsung au Haier, itabaki kam Laki tisa na Hamsini hiyo Tafuta Frame ya kulipa 70 kwa mwezi au chini ya hapo lipia miezi mitatu Cash,
Then Toa kam Laki mbiLi na Nusu Chonga Sofa moja la kukalia Watu kama Wanne hvi, na unaweza Kununua na benchi la Ziada la Kukalia watu wengne ambao watakuw wanasubir,
Mwsho nunua kapeti Hata la Laki moja Weka nakshi za ofisini Kam kapeti,hapo na chenchi inabaki hiyo biashara kwa siku kukunja 20-30k ni uhakka kabsa