Biashara gani naweza kuiganya kwa mtaji wa 2M

Nunua machine ya juisi ya miwa
Nyingine kanunua pamba uvae
Huo mtaji ukiisha ujanunua nguo nakwambia hutakaa ununue tena
Kwenye hili sijafanya research kwa maeneo ya mbeya kama juisi ya miwa inatoka
Kuhusu pamba ninazo mkuu [emoji1756][emoji109]
 
Biashara ya Kuchezesha Game haidanganyi cha muhmu Tatufa mtu ambye Ana Ps4 ambalo Halina shida nunua Hapo inaweza kata Kam Laki nne na nusu hivi, Tenga laki moja ya Ziada ununue pads mpya,

Laki tano Unanunua Tv kampuni Yyte ila nakushauri Kampuni ya Samsung au Haier, itabaki kam Laki tisa na Hamsini hiyo Tafuta Frame ya kulipa 70 kwa mwezi au chini ya hapo lipia miezi mitatu Cash,

Then Toa kam Laki mbiLi na Nusu Chonga Sofa moja la kukalia Watu kama Wanne hvi, na unaweza Kununua na benchi la Ziada la Kukalia watu wengne ambao watakuw wanasubir,

Mwsho nunua kapeti Hata la Laki moja Weka nakshi za ofisini Kam kapeti,hapo na chenchi inabaki hiyo biashara kwa siku kukunja 20-30k ni uhakka kabsa
 
hii Biashara nzuri ila tu ajiandae kisaikolojia... kesi za wazazi Serikali za Mtaa... watoto wanatoroka shule...
 
Biashara ya Kuchezesha Game haidanganyi cha muhmu Tatufa mtu ambye Ana Ps4 ambalo Halina shida nunua Hapo inaweza kata Kam Laki nne na nusu hivi, Tenga laki moja ya Ziada ununue pads mpya,

Laki tano Unanunua Tv kampuni Yyte ila nakushauri Kampuni ya Samsung au Haier, itabaki kam Laki tisa na Hamsini hiyo Tafuta Frame ya kulipa 70 kwa mwezi au chini ya hapo lipia miezi mitatu Cash,

Then Toa kam Laki mbiLi na Nusu Chonga Sofa moja la kukalia Watu kama Wanne hvi, na unaweza Kununua na benchi la Ziada la Kukalia watu wengne ambao watakuw wanasubir,

Mwsho nunua kapeti Hata la Laki moja Weka nakshi za ofisini Kam kapeti,hapo na chenchi inabaki hiyo biashara kwa siku kukunja 20-30k ni uhakka kabsa
Asante kwa ushaur mkuu kwa mazingira yangu naona inawezekana hii
Bless up 🫂
 
Mkuu katika kozi yako ya finance hamna paper ya ujasiliamari (entrepreneur ship and project writing?) We graduate utashindwa je kubuni mradi mdogo mdogo wakufanya hapo umesomea ujinga, kwa kweli elimu yetu ni theory inahitaji overhaul

Mtaa ni tofauti na chuo kikuu

Hayo unayoyasema yangekuwa yana ukweli... walimu wa vyuo vikuu ndio wangekuwa matajiri wakubwa
 
Msominwa uchumi hawezi hata fanya analysis kujua ni biashara Gani itamfaa kwa huo mtaji. Aisee. Elimu yetu hii sijui ina faida Gani.
Sidhani kama mtaa unahitaji Sana degree kuweza kutoboa.....ila hapa nimekuja tuu kuomba ushauri kwa wazoefu maana wanasema biashara ni nzr ikiwa huifanyi so sitaki kukurupuka [emoji3578]🫂
 
Sawa mtaa hauhitaji degree.

Umeshindwa kufikiria kupitia maarifa uliyoyapata shule

Umesoma uchumi na fedha concept ya DEMAND and SUPPLY ilielewa vizuri. Je umeshindwa kuiapply hapo unapoishia ukajua which is which!?

Tumia hio shahada kujiongeza
 
Sawa mkuu nitazingatia Hilo [emoji1431]
 
Mkuu katika kozi yako ya finance hamna paper ya ujasiliamari (entrepreneur ship and project writing?) We graduate utashindwa je kubuni mradi mdogo mdogo wakufanya hapo umesomea ujinga, kwa kweli elimu yetu ni theory inahitaji overh
Yupo sahihi kuomba ushauri. Elimu yetu haitoi nafasi ya uzoefu. Hajasomea ujinga, ni kwamba ana theory, hana uzoefu.
 
Back
Top Bottom