Boss, Kuuliza ili afahamu kutoka kwa walio field haimaanishi kwamba hatotumia hiyo elimu.Sawa mtaa hauhitaji degree.
Umeshindwa kufikiria kupitia maarifa uliyoyapata shule
Umesoma uchumi na fedha concept ya DEMAND and SUPPLY ilielewa vizuri. Je umeshindwa kuiapply hapo unapoishia ukajua which is which!?
Tumia hio shahada kujiongeza
Kuuliza ni moja ya analysis pia. Anafanya utafiti mwepesi. Au alitakiwa asiulize lolote aanze tu biashara kwa kutumia theory alizosomea na uzoefu hana?Msominwa uchumi hawezi hata fanya analysis kujua ni biashara Gani itamfaa kwa huo mtaji. Aisee. Elimu yetu hii sijui ina faida Gani.
Moshi/Moro mkungu sh ngapi?Tumia 1M tu nyengine iweke sehemu salama.
Leta ndizi Dar kutoka Moshi au Morogoro.
NB: fanya research ya kutosha mwenyewe kabla ya kuingia mazima.
Moshi/Moro mkungu sh ngapi?
Usafiri toka Moshi/Moro mpaka dar kiasi Gani?
Dar mkungu sh ngapi?
Upo mbeya sehemu ganiKwenye hili sijafanya research kwa maeneo ya mbeya kama juisi ya miwa inatoka
Kuhusu pamba ninazo mkuu [emoji1756][emoji109]
Naishi VETA mkuuUpo mbeya sehemu gani
Nenda uyole tafuta frame ya 60kNaishi VETA mkuu
Aise naweza kuja pm tuyajenge mkuuBei zinatofautiana kulingana na ukubwa, aina na upatikanaji wa ndizi, kuna kipindi zinapanda na msimu mwengine zinapungua bei. Ndio maana ni muhimu kufanya utafiti kujua bei na kujua unamletea nani mzigo wako.
Kuna jamaa wanachukua mzigo usiku, asubuhi wanauza Mabibo na kugeuza kwenda kukusanya tena, usiku wanalala trna kwenye mabasi.
Morogoro kuna sehemu wanaita Singisa au Rumba chini, mnada Jumapili asubuhi, wanaleta ndizi hapo na mazagazaga kibao kutoka Rumba juu, ni mwendo wa kunapatana, kununua, kukusanya mzigo, kunakua na malori kuleta Dar, unashirikiana na wenzako, yanaleta Buguruni.