duhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Ku bet...
kama huna lakuchangia ufunge domo lakoKu bet...
Una mtaji kiasi gani?Habari wanajamvi,
Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.
Naombeni mawazo yenu.
Biasharay kuchoma mahindi ni biashara ambayo watu wanaidharau lakini ukichoma mahindi 100, unapata 30,000 bila chenga. Gharama ni ndogo tu na mtaji wake ni: (1) jiko =20,000Habari wanajamvi,
Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.
Naombeni mawazo yenu.
Au Afungue Banda Auze Machungwa Ambapo Kila Chungwa Sokoni Atanunua Kwa Shilingi 50 Nawewe Utaenda Kuuza Kwa Shilingi 100Fungua genge kisha mbele yake weka mihogo ya kukaanga asubuh na jioni weka mahindi ya kuchoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu kama una mtaji wekeza ktk futari
Futari kama mihogo, nazi, magimbi, viazi,maboga, and the like... Vinalipa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kubeti dhami, mk uza ice cream ubuyu, na bisi mashuleni.... weka mtoto akufanyie biashara hii ila awe na umri zaid ya miak 18 child labor is illegalKu bet...
kubeti dhami, mk uza ice cream ubuyu, na bisi mashuleni.... weka mtoto akufanyie biashara hii ila awe na umri zaid ya miak 18 child labor is illegalKu bet...
Sikuelewa nimekupata nwFutari kama mihogo, nazi, magimbi, viazi,maboga, and the like... Vinalipa