Hizo ndizo sifa za kuwa tajiri:-Habari wanajamvi,
Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.
Naombeni mawazo yenu.
D9Habari wanajamvi,
Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.
Naombeni mawazo yenu.
Habari wanajamvi,
Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.
Naombeni mawazo yenu.
mkuu huu mwezi si wa kupita tu....nahisi yeye anataka iwe daily kwa nilivyomuelewa mimiMkuu kama una mtaji wekeza ktk futari
Vizuri ungesema na Pesa uliyokuwa nayo ambayo umeipangia uifanyie iyo biashara.......mtu atakwambia uza mayai kumbe una mtaji wa milioni. kwa ushauli edit post yako na kusema kianzio chako cha pesa ni kiasi kazaaa.....Mimi mwenyewe muajiliwa ila nafuatilia post yako kwa ukalibu natamani nami biashara iniingizie kipatoHabari wanajamvi,
Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.
Naombeni mawazo yenu.
Kama huna cha kuchangia kaa kimya acha akilia za FB na Ista uku watu wanahekima......Kumbuka mwenzako anaomba ushauli wewe unaleta masiharaKu bet...
Wewe naye sijui ni mwehu wa wapi! Wenzako tunaishi hapa mjini kwa kubet na tunaendesha maisha ya familia kubwa tu. Sasa kama mimi ndio njia inayonikweka mjini nikamshauri mwenzangu naye aishi ivo, wewe kama ni mkulima, mshauri alime, kama unafuga mshauri afuge. Kila mtu anashauri kutokana na ujuzi na uzoefu wake...Kama huna cha kuchangia kaa kimya acha akilia za FB na Ista uku watu wanahekima......Kumbuka mwenzako anaomba ushauli wewe unaleta masihara
Biashara za msimu ndo zinafaida kubwa, faida huweza kuvuka hata iyo elfu kumi. Mkuu chance is a chance no matter it's mwezi wa ramadhan au january pambana mkuu usigeuke nyuma.Sasa
mkuu huu mwezi si wa kupita tu....nahisi yeye anataka iwe daily kwa nilivyomuelewa mimi
KubetiHabari wanajamvi,
Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.
Naombeni mawazo yenu.