Biashara gani ndogo inayoweza niingizia hata 10,000 kwa siku?

Biashara gani ndogo inayoweza niingizia hata 10,000 kwa siku?

Habari wanajamvi,

Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.

Naombeni mawazo yenu.
Hizo ndizo sifa za kuwa tajiri:-
1: Ajiriwa: kama huna mtaji na utakafuta mtaji, au unafanya kwa ajili ongezea chanzo cha mapato.
2: Ajiri; Kama una-mtaji na huna muda wa kusimamia, na au unataka kuongeza chanzo cha mapato.
3: Jiajiri: Kama una mtaji ama mdogo au mkubwatayari(kwa kuanzisha biashara yako)

Sasa fikiria unajiweka kwenye kundi gani kwa kiasi cha fedha ulichokuwa nacho?
 
Habari wanajamvi,

Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.

Naombeni mawazo yenu.
D9
 
Habari wanajamvi,

Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.

Naombeni mawazo yenu.

soma hizo fursa zilizoambatanishwa, then RUKA na moja
 
Attachments

Habari wanajamvi,

Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.

Naombeni mawazo yenu.
Vizuri ungesema na Pesa uliyokuwa nayo ambayo umeipangia uifanyie iyo biashara.......mtu atakwambia uza mayai kumbe una mtaji wa milioni. kwa ushauli edit post yako na kusema kianzio chako cha pesa ni kiasi kazaaa.....Mimi mwenyewe muajiliwa ila nafuatilia post yako kwa ukalibu natamani nami biashara iniingizie kipato
 
Kama huna cha kuchangia kaa kimya acha akilia za FB na Ista uku watu wanahekima......Kumbuka mwenzako anaomba ushauli wewe unaleta masihara
Wewe naye sijui ni mwehu wa wapi! Wenzako tunaishi hapa mjini kwa kubet na tunaendesha maisha ya familia kubwa tu. Sasa kama mimi ndio njia inayonikweka mjini nikamshauri mwenzangu naye aishi ivo, wewe kama ni mkulima, mshauri alime, kama unafuga mshauri afuge. Kila mtu anashauri kutokana na ujuzi na uzoefu wake...
 
Sasa

mkuu huu mwezi si wa kupita tu....nahisi yeye anataka iwe daily kwa nilivyomuelewa mimi
Biashara za msimu ndo zinafaida kubwa, faida huweza kuvuka hata iyo elfu kumi. Mkuu chance is a chance no matter it's mwezi wa ramadhan au january pambana mkuu usigeuke nyuma.
 
Habari wanajamvi,

Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku.

Naombeni mawazo yenu.
Kubeti
 
Bodaboda iwe yako kisha ukomae mwenyewe mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom