Biashara gani nifanye Comoro?

Biashara kwa Comoro ni nyingi tu inategemea sana reaserch yako.

mojawapo inaweza kukutoa haraka ni Biashara ya chakula - nafaka au biashara ya nyama. Ni suala la wewe kufanya reaserch.

Wenzio biashara ya kupeleka mzgo nje ya nchi, mala nyingi tunaendega nchi husika kwanza na kufanya complete reaserch kabla ya kwenda na mzgo.

Yes unaweza kugoogle n.k lakin mm kwa uzoefu wangu mdogo, napenda Sana kwenda mwenyewe bila kuambiwa na mtu au na internate.

Lakin pia unaweza kuwaona washauri wa mambo ya biashara ya nje. Wanaweza kukupa mwanga.

Kuhusu lesen, export licence ni bei ndogo Sana nadhan kati ya 300,000-400,000.

Ukisajir jina la biashara yako Blera itasound Sana.
 
Nauliza, ukifika comoro lugha gani ya kutumia kuzungumza?, maana sioni kama wa naongea kingereza
 
Nashukuru sana. Nafikiria pia kwenda kutembea huko na kuangalia fursa
 
Kama utaenda itakuwa vyema yaan basi tu labda budget isumbue lakin Kama si hivyo, ukienda unakutana na fursa zingine ambazo hukuzijua.

Unaweza kupanga kupeleka biashara kule, baada ya kufka ukaona na biashara ya kurudi nazo...Mungu akutangulie Mkuu.
 
Mkuu nimekupm but pia waweza share nasi fulsa zilizipo hapo ushelisheli
Ungetaja kiasi cha huo "mtaji mdogo" ili tukusaidie kwa uhakika.
Mimi niko visiwa vya ushelisheli
 
Mkuu nifafanulie vizuri. Kama nikifanya biashara let say ya mchele napelela kilo 500 nahitaji hivyo vibali vyote? Vipi tozo za Blera na TBS kupima mchele wangu haiwezi kuwa gharama kubwa zaidi?
 
Ungetaja kiasi cha huo "mtaji mdogo" ili tukusaidie kwa uhakika.
Mimi niko visiwa vya ushelisheli
Huko usheli sheli napaangalia kwa internet napatamani sana. Anyway tuombe Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…