Biashara gani nifanye Comoro?

Biashara gani nifanye Comoro?

Mkuu nifafanulie vizuri. Kama nikifanya biashara let say ya mchele napelela kilo 500 nahitaji hivyo vibali vyote? Vipi tozo za Blera na TBS kupima mchele wangu haiwezi kuwa gharama kubwa zaidi?
Mkuu samahan kwa kukujibu tofauti, biashara yoyote inahitaji comtment na mahamuzi ambayo ukiamua hutakiwi kurudi nyuma kwa haraka wala kukatishwa tamaa kwa haraka...

Sasa hapa unapo ulizia Kama ni gharama zinaweza kuwa kubwa au laaa! Tayari unaujengea ufaham wako mazingira ya kuja kuogopa au kukata tamaa. Na pia kumbuka apa Janvini kuna wengine wanaweza kukukatisha tamaaa.

Nakushauri kwa nia nzuri kabisa, nenda blera ukaulize, japo kuwa jibu ni kwamba kusajili jina la biashara ni bure. Lakin ita-sound Sana Kama umeamua ukaenda mwenyewe. Maana pamoja na bure still watakushauri vitu vya kupeleka kusajili n.k

Nenda TFDA na TBS ulizia. Na pia nenda ata kwa mawakala wa kupeleka mizigo nje ya nchi, clearing and forwarding agences watakushauri vizuri na kukupa full parkeges ya nyaraka zinazotakiwa.

Yaana kwenda kupita kote uko, kunakufanya kukutana na watu mbali mbali na wataalam zaidi.. kuliko mm kukupa jibu fupi hapa.....

Tenga siku moja tu tembelea hizo ofc. Nenda na pen na note book, hakikisha una andika jina la mtu aliyekuhudumia na namba zake za cm na andaa maswali mengi umuulize mpaka upate majibu....chukua hatua mkuu hapa tunakupa mwanga tu. Cheti Cha ubora wa bidhaaaa zako si bei kubwa.

Vitu vya kuexport nje ya nchi gharama zake ni ndogo kwa upande wa serikali, Sana Sana ni kulipia loyarity n.k usiogope.

"The Right Thought plus the Right People. In the Right Environment at the Right Time for Right Reason = the Right Result."
By John Maxwell.2009.How successful People think.page no 17.
 
Sasa mkuu kweli biashara ya kimataifa upeleke kilo 500?kweli hiyo faida utaiona vipi , vibali, nauli humo humo?matumizi yako, huo utakuwa ni utani mkuu!!!hata kutoa huo mzigo mbeya kuuleta dar, huwezi iona faida yoyote, sembuse nje?!!
 
Hahahaha point yangu iko hapo kwenye hizo logistics
 
Mkuu samahan kwa kukujibu tofauti, biashara yoyote inahitaji comtment na mahamuzi ambayo ukiamua hutakiwi kurudi nyuma kwa haraka wala kukatishwa tamaa kwa haraka...

Sasa hapa unapo ulizia Kama ni gharama zinaweza kuwa kubwa au laaa! Tayari unaujengea ufaham wako mazingira ya kuja kuogopa au kukata tamaa. Na pia kumbuka apa Janvini kuna wengine wanaweza kukukatisha tamaaa.

Nakushauri kwa nia nzuri kabisa, nenda blera ukaulize, japo kuwa jibu ni kwamba kusajili jina la biashara ni bure. Lakin ita-sound Sana Kama umeamua ukaenda mwenyewe. Maana pamoja na bure still watakushauri vitu vya kupeleka kusajili n.k

Nenda TFDA na TBS ulizia. Na pia nenda ata kwa mawakala wa kupeleka mizigo nje ya nchi, clearing and forwarding agences watakushauri vizuri na kukupa full parkeges ya nyaraka zinazotakiwa.

Yaana kwenda kupita kote uko, kunakufanya kukutana na watu mbali mbali na wataalam zaidi.. kuliko mm kukupa jibu fupi hapa.....

Tenga siku moja tu tembelea hizo ofc. Nenda na pen na note book, hakikisha una andika jina la mtu aliyekuhudumia na namba zake za cm na andaa maswali mengi umuulize mpaka upate majibu....chukua hatua mkuu hapa tunakupa mwanga tu. Cheti Cha ubora wa bidhaaaa zako si bei kubwa.

Vitu vya kuexport nje ya nchi gharama zake ni ndogo kwa upande wa serikali, Sana Sana ni kulipia loyarity n.k usiogope.

"The Right Thought plus the Right People. In the Right Environment at the Right Time for Right Reason = the Right Result."
By John Maxwell.2009.How successful People think.page no 17.
Mkuu Felix asante kwa maoni yako. Yamejaa mwanga kweli kweli. Imesema ukweli wote.

Ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Yaani mkuu biashara za nje ki ukweli lazima uwe na mtaji mkubwa , ndio utaiona faida, mimi mala ya kwanza kwenda DRC kupeleka mchele nilienda tani 30, vibali , kodi ni nyingi mno, hivyo kama una mzigo mdogo lazima itakukata tu!!!
Asante kwa kutupa uzoefu wako. Tunahitaji testimony kama zako ili tuelewe hali halisi
 
Yaani mkuu biashara za nje ki ukweli lazima uwe na mtaji mkubwa , ndio utaiona faida, mimi mala ya kwanza kwenda DRC kupeleka mchele nilienda tani 30, vibali , kodi ni nyingi mno, hivyo kama una mzigo mdogo lazima itakukata tu!!!
Hapo unazungumzia mtaji si chini ya 50M
 
kauze vitunguu na wanapenda vitunguu sana
 
sahihi. hizi biashara level hii hatujafika bado
Jaribu kwanza kupambana na za ndani, mambo yakinyooka unaanza kuchungulia za nje, kwa upande wa documents hasa biashara ya nafaka hakuna vikwazo vingi, sana sana, ni export permit, na export licence tu.
 
Asante mkuu ngoja niendelee kwanza na Huu Umachinga hapa Dumila.
 
Kwa kuwa ni mara ya kwanza ... nagikri the bost option ni kwenda kwanza kutalii kuzunguka zunguka ..nakufanya tafiti! Kisha utakapo rejea utakuwa na order kadhaa za wateja utakao wapata huko, pamoja na kujuwa utaratibu wa kuagiza bidha , gharama za kufanya biashara huko!
 
Nataka kufanya biashara Comoro kwa mtaji.mdogo, nifanyeje?
Hapa na type nikiwa Comoros; ni siku ya 10 toka nifike huku.
Nimesoma comment za uzi wako zote na maswali yako nimeyaona.

Kwa ufupi niseme Comoro pesa ipo na kea huo mtaji wako kama ukipata mwongozo sahihi Faida ipo; ila shida inakuja kuwa ni nani atakupa huo mwongozo?

Ukisema uke kufanya tafiti, huo mtaji wako utaishia kwenye utafiti na unaweza ukaishia airport ana jela.

Kama ukiamua kuja gharama ni kama zifuatazo:

1. Visa 125,000
2. Nauli ya Ndege ni kuanzia 1100,000 na kuendelea
3. Guest bei ya chini ni elf 50 kwa siku.
4. Chakula mlo moja ni kuanzia elf20

Kwa hiyo ukiangalia hayo mahesabu utagundua katibia nusu ya mtaji wako unakatika hapo.

Maelezo zaidi utayapa kwenye uzi wangu kuhusu safari yangu ya baada ya kurudi nitaweka kila kitu humo isipokuwa connections tu
 
Back
Top Bottom