Kule zaidi ni kifaransa waswahili wapo wachache sanaNauliza, ukifika comoro lugha gani ya kutumia kuzungumza?, maana sioni kama wa naongea kingereza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule zaidi ni kifaransa waswahili wapo wachache sanaNauliza, ukifika comoro lugha gani ya kutumia kuzungumza?, maana sioni kama wa naongea kingereza
all the best mkuu ndenda mwenyewe comoroNipo Tanzania, nataka kufanya biashara na Comoro
Mkuu samahan kwa kukujibu tofauti, biashara yoyote inahitaji comtment na mahamuzi ambayo ukiamua hutakiwi kurudi nyuma kwa haraka wala kukatishwa tamaa kwa haraka...Mkuu nifafanulie vizuri. Kama nikifanya biashara let say ya mchele napelela kilo 500 nahitaji hivyo vibali vyote? Vipi tozo za Blera na TBS kupima mchele wangu haiwezi kuwa gharama kubwa zaidi?
Sasa mkuu kweli biashara ya kimataifa upeleke kilo 500?kweli hiyo faida utaiona vipi , vibali, nauli humo humo?matumizi yako, huo utakuwa ni utani mkuu!!!hata kutoa huo mzigo mbeya kuuleta dar, huwezi iona faida yoyote, sembuse nje?!!Mkuu nifafanulie vizuri. Kama nikifanya biashara let say ya mchele napelela kilo 500 nahitaji hivyo vibali vyote? Vipi tozo za Blera na TBS kupima mchele wangu haiwezi kuwa gharama kubwa zaidi?
Hahahaha point yangu iko hapo kwenye hizo logisticsSasa mkuu kweli biashara ya kimataifa upeleke kilo 500?kweli hiyo faida utaiona vipi , vibali, nauli humo humo?matumizi yako, huo utakuwa ni utani mkuu!!!hata kutoa huo mzigo mbeya kuuleta dar, huwezi iona faida yoyote, sembuse nje?!!
Mkuu Felix asante kwa maoni yako. Yamejaa mwanga kweli kweli. Imesema ukweli wote.Mkuu samahan kwa kukujibu tofauti, biashara yoyote inahitaji comtment na mahamuzi ambayo ukiamua hutakiwi kurudi nyuma kwa haraka wala kukatishwa tamaa kwa haraka...
Sasa hapa unapo ulizia Kama ni gharama zinaweza kuwa kubwa au laaa! Tayari unaujengea ufaham wako mazingira ya kuja kuogopa au kukata tamaa. Na pia kumbuka apa Janvini kuna wengine wanaweza kukukatisha tamaaa.
Nakushauri kwa nia nzuri kabisa, nenda blera ukaulize, japo kuwa jibu ni kwamba kusajili jina la biashara ni bure. Lakin ita-sound Sana Kama umeamua ukaenda mwenyewe. Maana pamoja na bure still watakushauri vitu vya kupeleka kusajili n.k
Nenda TFDA na TBS ulizia. Na pia nenda ata kwa mawakala wa kupeleka mizigo nje ya nchi, clearing and forwarding agences watakushauri vizuri na kukupa full parkeges ya nyaraka zinazotakiwa.
Yaana kwenda kupita kote uko, kunakufanya kukutana na watu mbali mbali na wataalam zaidi.. kuliko mm kukupa jibu fupi hapa.....
Tenga siku moja tu tembelea hizo ofc. Nenda na pen na note book, hakikisha una andika jina la mtu aliyekuhudumia na namba zake za cm na andaa maswali mengi umuulize mpaka upate majibu....chukua hatua mkuu hapa tunakupa mwanga tu. Cheti Cha ubora wa bidhaaaa zako si bei kubwa.
Vitu vya kuexport nje ya nchi gharama zake ni ndogo kwa upande wa serikali, Sana Sana ni kulipia loyarity n.k usiogope.
"The Right Thought plus the Right People. In the Right Environment at the Right Time for Right Reason = the Right Result."
By John Maxwell.2009.How successful People think.page no 17.
Yaani mkuu biashara za nje ki ukweli lazima uwe na mtaji mkubwa , ndio utaiona faida, mimi mala ya kwanza kwenda DRC kupeleka mchele nilienda tani 30, vibali , kodi ni nyingi mno, hivyo kama una mzigo mdogo lazima itakukata tu!!!Hahahaha point yangu iko hapo kwenye hizo logistics
Asante kwa kutupa uzoefu wako. Tunahitaji testimony kama zako ili tuelewe hali halisiYaani mkuu biashara za nje ki ukweli lazima uwe na mtaji mkubwa , ndio utaiona faida, mimi mala ya kwanza kwenda DRC kupeleka mchele nilienda tani 30, vibali , kodi ni nyingi mno, hivyo kama una mzigo mdogo lazima itakukata tu!!!
Hapo unazungumzia mtaji si chini ya 50MYaani mkuu biashara za nje ki ukweli lazima uwe na mtaji mkubwa , ndio utaiona faida, mimi mala ya kwanza kwenda DRC kupeleka mchele nilienda tani 30, vibali , kodi ni nyingi mno, hivyo kama una mzigo mdogo lazima itakukata tu!!!
Yaaaa!!!hapo ndipo utafanya biashara yako kwa amani, hata bei ya manunuzi ikibadirika kidogo bado utakuwa na uwezo wa kununua mzigo wa kutosha tu.Hapo unazungumzia mtaji si chini ya 50M
sahihi. hizi biashara level hii hatujafika badoYaaaa!!!hapo ndipo utafanya biashara yako kwa amani, hata bei ya manunuzi ikibadirika kidogo bado utakuwa na uwezo wa kununua mzigo wa kutosha tu.
Jaribu kwanza kupambana na za ndani, mambo yakinyooka unaanza kuchungulia za nje, kwa upande wa documents hasa biashara ya nafaka hakuna vikwazo vingi, sana sana, ni export permit, na export licence tu.sahihi. hizi biashara level hii hatujafika bado
Asante mkuu ngoja niendelee kwanza na Huu Umachinga hapa Dumila.Jaribu kwanza kupambana na za ndani, mambo yakinyooka unaanza kuchungulia za nje, kwa upande wa documents hasa biashara ya nafaka hakuna vikwazo vingi, sana sana, ni export permit, na export licence tu.
Umenichekesha, I;a umeuliza swali LA maana.Mbuzi za kukunia au mbuzi nyama?
Na hao wachache waliopo ni wabinafsi na matapeli wa kufaKule zaidi ni kifaransa waswahili wapo wachache sana
Hapa na type nikiwa Comoros; ni siku ya 10 toka nifike huku.Nataka kufanya biashara Comoro kwa mtaji.mdogo, nifanyeje?