Biashara gani nifanye Comoro?

Afadhali kwa kuwa tumekupata wewe uliyeko huko una mifano hai.

Nataka kujua kwa kuwa huo usafiri ni ghali sana na sisi ni watafutaji je hakuna usafiri nafuu kama meli au boti?
 
Usafiri halo ni wa ndege tu. Hakuna Meli za abiria zinazo kwenda huko, japo kuna fununu kuwa kuna watu wanachaji laki 500000 kuja na Meli, ila sina uhakika
 
Sijaja hapa kuanika watu kwa evidence ila jua hakuna mtu anaogopwa kwa utapeli Comoro kama mtanzania. Sasa Ili uamoni kayak tiketi panda ndege bila connection uone kama hutaishia airport ama jela
Mbona unadanganya watu, kila siku hapo bandarini watu wanapanda majahazi kupeleka vitu Comoro, ni kwa nini mnapenda uwongo?

Kwanza sasa hivi hapa Dar tunao Wacomoro kibao tumewapangisha nyumba za kuishi mitaani kwetu.
 
Nauli ya ndege na meli ni shilling ngapi hadi Comoros

Natamani niende huko nikafanye survey ya biashara
 
Usafiri wa majini upo bwelele usidanganywe.
Umeahawahi kuutumia? Nimekwambia sio rasmi; sijasema haupo?

Kumpangisha mkomoro sio kigezo cha kujua kila kitu.

Nyie ni wale mnapdabganya watu alafu wanakuja kupata shida huku.

Anyway siku hapa kubishana na mtu; sina Faida ninayoipata.
 
Mbona unadanganya watu, kila siku hapo bandarini watu wanapanda majahazi kupeleka vitu Comoro, ni kwa nini mnapenda uwongo?

Kwanza sasa hivi hapa Dar tunao Wacomoro kibao tumewapangisha nyumba za kuishi mitaani kwetu.
Kwa majahazi kama yale ya Vasco da Gama mmh! Mbona mwili unanisisimka kabla sijapanda.
 
Mbona unadanganya watu, kila siku hapo bandarini watu wanapanda majahazi kupeleka vitu Comoro, ni kwa nini mnapenda uwongo?

Kwanza sasa hivi hapa Dar tunao Wacomoro kibao tumewapangisha nyumba za kuishi mitaani kwetu.
Lishawahi kufika Comoro?
 
Umeahawahi kuutumia? Nimekwambia sio rasmi; sijasema haupo?

Kumpangisha mkomoro sio kigezo cha kujua kila kitu.

Nyie ni wale mnapdabganya watu alafu wanakuja kupata shida huku.

Anyway siku hapa kubishana na mtu; sina Faida ninayoipata.
mimi nakusikiliza wewe unayeishi huko
 
Kama kuna watu wanahitaji pia hiyo fursa si mbaya mkiunga team alaf mzigo ukusanywe ili mkimbizane na fursa .Ingawa si vema saana biashara za jumuiya ila kiasi fulani mnaweza kufika mnapotaka

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hili no wazo zuri kama sisi wenye mitaji ya kimachinga
 
Unaijuwa hospital wewe? Hivi unaelewa Tanzania tu masharti ya kufunguwa dispensary tu yakoje?
Unamaanisha kwamba Tanzania pamoja na hayo masharti hakuna wanaomiliki hospitali?

Na ujue sio kila nchi ina ukiritimba, ziko nchi ukinyoosha maelezo na kukidhi vigezo na masharti hawana tatizo. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoweka maslahi ya watawala mbele na sio wananchi.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Mbona unadanganya watu, kila siku hapo bandarini watu wanapanda majahazi kupeleka vitu Comoro, ni kwa nini mnapenda uwongo?

Kwanza sasa hivi hapa Dar tunao Wacomoro kibao tumewapangisha nyumba za kuishi mitaani kwetu.
Watanzania tuna hulka ya kukatishana tamaa mno.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
S
Nauli ya ndege na meli ni shilling ngapi hadi Comoros

Natamani niende huko nikafanye survey ya biashara
Swali gumu kulijibu kwsbb sijui uko mkoa gan au bandari hipi. Na pia Nauli za ndege siyo fixed coz mtu anae fanya booking kusafir kesho na wa booking ya mwezi ujao bei ni tofauti. Na aina ya ndege n.k.

so maswali Kama haya ungeenda kwa mawakala wa ndege. Hii itaufanya ufahamu wako kuona au kuhisi umeamua kweli kweli.., lakin hapa ukipewa jibu fupi yawezekana ukajua Nauli ni kubwa na hivyo juudi zikaishia hapa tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…