kitaboy
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 341
- 1,219
Any evidence experienceNa hao wachache waliopo ni wabinafsi na mataoeli wa kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Any evidence experienceNa hao wachache waliopo ni wabinafsi na mataoeli wa kufa
😅😅😅Na hao wachache waliopo ni wabinafsi na mataoeli wa kufa
Afadhali kwa kuwa tumekupata wewe uliyeko huko una mifano hai.Hapa na type nikiwa Comoros; ni siku ya 10 toka nifike huku.
Nimesoma comment za uzi wako zote na maswali yako nimeyaona.
Kwa ufupi niseme Comoro pesa ipo na kea huo mtaji wako kama ukipata mwongozo sahihi Faida ipo; ila shida inakuja kuwa ni nani atakupa huo mwongozo?
Ukisema uke kufanya tafiti, huo mtaji wako utaishia kwenye utafiti na unaweza ukaishia airport ana jela.
Kama ukiamua kuja gharama ni kama zifuatazo:
1. Visa 125,000
2. Nauli ya Ndege ni kuanzia 1100,000 na kuendelea
3. Guest bei ya chini ni elf 50 kwa siku.
4. Chakula mlo moja ni kuanzia elf20
Kwa hiyo ukiangalia hayo mahesabu utagundua katibia nusu ya mtaji wako unakatika hapo.
Maelezo zaidi utayapa kwenye uzi wangu kuhusu safari yangu ya baada ya kurudi nitaweka kila kitu humo isipokuwa connections tu
Unaijuwa hospital wewe? Hivi unaelewa Tanzania tu masharti ya kufunguwa dispensary tu yakoje?Ukiwa na mtaji wa kutosha, fungua hospital huko. Utakuja kunishukuru baadaye.
Sijaja hapa kuanika watu kwa evidence ila jua hakuna mtu anaogopwa kwa utapeli Comoro kama mtanzania. Sasa Ili uamoni kayak tiketi panda ndege bila connection uone kama hutaishia airport ama jela
Usafiri halo ni wa ndege tu. Hakuna Meli za abiria zinazo kwenda huko, japo kuna fununu kuwa kuna watu wanachaji laki 500000 kuja na Meli, ila sina uhakikaAfadhali kwa kuwa tumekupata wewe uliyeko huko una mifano hai.
Nataka kujua kwa kuwa huo usafiri ni ghali sana na sisi ni watafutaji je hakuna usafiri nafuu kama meli au boti?
Mbona unadanganya watu, kila siku hapo bandarini watu wanapanda majahazi kupeleka vitu Comoro, ni kwa nini mnapenda uwongo?Sijaja hapa kuanika watu kwa evidence ila jua hakuna mtu anaogopwa kwa utapeli Comoro kama mtanzania. Sasa Ili uamoni kayak tiketi panda ndege bila connection uone kama hutaishia airport ama jela
Usafiri wa majini upo bwelele usidanganywe.Afadhali kwa kuwa tumekupata wewe uliyeko huko una mifano hai.
Nataka kujua kwa kuwa huo usafiri ni ghali sana na sisi ni watafutaji je hakuna usafiri nafuu kama meli au boti?
Nauli ya ndege na meli ni shilling ngapi hadi ComorosKama utaenda itakuwa vyema yaan basi tu labda budget isumbue lakin Kama si hivyo, ukienda unakutana na fursa zingine ambazo hukuzijua.
Unaweza kupanga kupeleka biashara kule, baada ya kufka ukaona na biashara ya kurudi nazo...Mungu akutangulie Mkuu.
Nielekeze ukoje aisee nikienda kutalii niende naoUsafiri wa majini upo bwelele usidanganywe.
Umeahawahi kuutumia? Nimekwambia sio rasmi; sijasema haupo?Usafiri wa majini upo bwelele usidanganywe.
Kwa majahazi kama yale ya Vasco da Gama mmh! Mbona mwili unanisisimka kabla sijapanda.Mbona unadanganya watu, kila siku hapo bandarini watu wanapanda majahazi kupeleka vitu Comoro, ni kwa nini mnapenda uwongo?
Kwanza sasa hivi hapa Dar tunao Wacomoro kibao tumewapangisha nyumba za kuishi mitaani kwetu.
Lishawahi kufika Comoro?Mbona unadanganya watu, kila siku hapo bandarini watu wanapanda majahazi kupeleka vitu Comoro, ni kwa nini mnapenda uwongo?
Kwanza sasa hivi hapa Dar tunao Wacomoro kibao tumewapangisha nyumba za kuishi mitaani kwetu.
mimi nakusikiliza wewe unayeishi hukoUmeahawahi kuutumia? Nimekwambia sio rasmi; sijasema haupo?
Kumpangisha mkomoro sio kigezo cha kujua kila kitu.
Nyie ni wale mnapdabganya watu alafu wanakuja kupata shida huku.
Anyway siku hapa kubishana na mtu; sina Faida ninayoipata.
Hakuna mfanya biashara hapaNataka kufanya biashara Comoro kwa mtaji.mdogo, nifanyeje?
Kama kuna watu wanahitaji pia hiyo fursa si mbaya mkiunga team alaf mzigo ukusanywe ili mkimbizane na fursa .Ingawa si vema saana biashara za jumuiya ila kiasi fulani mnaweza kufika mnapotakaAsante mkuu ngoja niendelee kwanza na Huu Umachinga hapa Dumila.
Hili no wazo zuri kama sisi wenye mitaji ya kimachingaKama kuna watu wanahitaji pia hiyo fursa si mbaya mkiunga team alaf mzigo ukusanywe ili mkimbizane na fursa .Ingawa si vema saana biashara za jumuiya ila kiasi fulani mnaweza kufika mnapotaka
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Unamaanisha kwamba Tanzania pamoja na hayo masharti hakuna wanaomiliki hospitali?Unaijuwa hospital wewe? Hivi unaelewa Tanzania tu masharti ya kufunguwa dispensary tu yakoje?
Watanzania tuna hulka ya kukatishana tamaa mno.Mbona unadanganya watu, kila siku hapo bandarini watu wanapanda majahazi kupeleka vitu Comoro, ni kwa nini mnapenda uwongo?
Kwanza sasa hivi hapa Dar tunao Wacomoro kibao tumewapangisha nyumba za kuishi mitaani kwetu.
Swali gumu kulijibu kwsbb sijui uko mkoa gan au bandari hipi. Na pia Nauli za ndege siyo fixed coz mtu anae fanya booking kusafir kesho na wa booking ya mwezi ujao bei ni tofauti. Na aina ya ndege n.k.Nauli ya ndege na meli ni shilling ngapi hadi Comoros
Natamani niende huko nikafanye survey ya biashara