Biashara gani nifanye Comoro?

Usafiri wa boti upo, sio lazima uwe na Connection na mtu, kila kitu mipango.

Azam wanasafirisha sana mizigo kwenda Comoros kama unahitaji kujua gharama zao nenda ofisini kule bandarini ukawaulize watakupa muongozo.
 
Wakuu mlioko huko toeni connection na michongo iliyopo
 
Kama kuna watu wanahitaji pia hiyo fursa si mbaya mkiunga team alaf mzigo ukusanywe ili mkimbizane na fursa .Ingawa si vema saana biashara za jumuiya ila kiasi fulani mnaweza kufika mnapotaka

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hili litategemea na uaminifu suala ambalo ni humu Sana kwa watanzania. Asilimia kubwa wamekosa uaminifu
 
Usafiri wa boti upo, sio lazima uwe na Connection na mtu, kila kitu mipango.

Azam wanasafirisha sana mizigo kwenda Comoros kama unahitaji kujua gharama zao nenda ofisini kule bandarini ukawaulize watakupa muongozo.
Inaonekana hujui maana ya connection na mipamgo
 
Aisee

Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…