Biashara gani nzuri na ina faida ya mtaji wa Tsh Milioni 1?

ni mifuko gani hii [emoji848][emoji848] na wateja wake ni wapi
Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madini
Hapa Dar kuna viwanda pia vinainunua kwa matumizi yao na kule kariakoo kuna wanaoinunua na kutengeneza turubai
 
tueleweshane vizuri hapaa[emoji848]
Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madini
Hapa Dar kuna viwanda pia vinainunua kwa matumizi yao na kule kariakoo kuna wanaoinunua na kutengeneza turubai
 
Ndo mifuko Gani hiyo?

Tupe info zaidi

Wee ndio unaiiuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…