mgani da prince
Member
- Jan 6, 2018
- 23
- 13
- Thread starter
- #21
Kopesha kwa riba
[emoji848][emoji848] sio mtaji mdg sana wa kukopesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kopesha kwa riba
Aanze na wa chini akue huku akisoma biashara inavyoenda[emoji848][emoji848] sio mtaji mdg sana wa kukopesha
Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madinini mifuko gani hii [emoji848][emoji848] na wateja wake ni wapi
Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madinitueleweshane vizuri hapaa[emoji848]
Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madiniNdo mifuko Gani hiyo?
Tupe info zaidiTuwasiliane niko Kibada kuna biashara ya mifuko ya Jafafa unanunua mmoja 5000 unauza 8000 wateja wapo kwa kutosha sana
Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madiniTupe info zaidi
Wee ndio unaiiuza?Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madini
Hapa Dar kuna viwanda pia vinainunua kwa matumizi yao na kule kariakoo kuna wanaoinunua na kutengeneza turubaiView attachment 2165051
Dahhhh....Wee ndio unaiiuza?
Ajiandae kugombana na wadeni wake..atafute wakili na awe na ukaribu na mkuu wa kituo cha polisi kilicho karibu yake.Kopesha kwa riba
Hapana mkuu ila inakopatikana nakujuaWee ndio unaiiuza?
Ok...sasa wateja nao unawajuaHapana mkuu ila inakopatikana nakujua
Tungekuwa na vichwa vyepesi tusingekuwa hap jf.Dahhhh....
Vijana mna vichwa vugumu sana.
NdioOk...sasa wateja nao unawajua
Kama wanaweza confirm oda ya mifuko kama 100 kwenda juu we myt be in businessNdio
Uza dawa za binadamuNina mtaji wa 1M nipo Kigamboni mitaa ya kwa Urasa. Biashara gani inaweza faa kwa mtaji huo.
Msaada wenu plz [emoji1545]
Hiyo oda iko tayari tena sio 100 tu ni 400Kama wanaweza confirm oda ya mifuko kama 100 kwenda juu we myt be in business
Hatari mzeya...hapo fii faida kama laki 8Hiyo oda iko tayari tena sio 100 tu ni 400