ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
naona pm yakko mkuu umeifunga nami niko interested na hii biashara ya mifuko nahitaji connection mkuu asanteNitakukaribisha
Naona vijana wanachangamkia fursaNasubiri mrejesho wa biashara aliyopendekeza Mshana Jr ya mifuko.
Na mimi nikaribishe mkuu, nimevutiwa na fursaNitakukaribisha
Ungefata alivyokwambia then uje kutupa mrejeshotueleweshane vizuri hapaa[emoji848]
Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madini
Hapa Dar kuna viwanda pia vinainunua kwa matumizi yao na kule kariakoo kuna wanaoinunua na kutengeneza turubai
Mkuu nipo mkoani siwezi fanya hiyo biasharaTuwasiliane niko Kibada kuna biashara ya mifuko ya Jafafa unanunua mmoja 5000 unauza 8000 wateja wapo kwa kutosha sana
Unahitaji mingapi mkuu? Tuma pesa ili kesho upate mzigo wakoHii ya mifuko kiboko,nimechagua kuwa Mteja kwa mtakao anza kuiuza "mteja nipo hapa"
Mkuu Mshana Jr bado nasubiri ukaribisho wako mkuu.Nitakukaribisha
Kama ishakufikia maza house acha niandae vijana waniambie watahtaji mingapi halafu nikurudieUnahitaji mingapi mkuu? Tuma pesa ili kesho upate mzigo wako
SAWA, nasubiriKama ishakufikia maza house acha niandae vijana waniambie watahtaji mingapi halafu nikurudie
Ni kupambana tu mkuu. Hakuna mafanikio yaayokuja kwa urahisiSoko nalo Sasa mtihani unaanzia hapo
Boss naomba unipe connection ya hii mifuko nikitoka Ghana +255682308523 whasap me tuongeeTuwasiliane niko Kibada kuna biashara ya mifuko ya Jafafa unanunua mmoja 5000 unauza 8000 wateja wapo kwa kutosha sana
Unahitaji mingapi?Hii ya mifuko kiboko,nimechagua kuwa Mteja kwa mtakao anza kuiuza "mteja nipo hapa"
Jamani iyo mifuko mimi ninayo 30pc 0745866224Unahitaji mingapi?