Biashara gani nzuri na ina faida ya mtaji wa Tsh Milioni 1?

Biashara gani nzuri na ina faida ya mtaji wa Tsh Milioni 1?

Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madini
Hapa Dar kuna viwanda pia vinainunua kwa matumizi yao na kule kariakoo kuna wanaoinunua na kutengeneza turubai

Iringa wateja wapi mm nipo uku
 
Hii ya mifuko kiboko,nimechagua kuwa Mteja kwa mtakao anza kuiuza "mteja nipo hapa"
 
Boss naomba unipe conn
Tuwasiliane niko Kibada kuna biashara ya mifuko ya Jafafa unanunua mmoja 5000 unauza 8000 wateja wapo kwa kutosha sana
Boss naomba unipe connection ya hii mifuko nikitoka Ghana +255682308523 whasap me tuongee
 
Back
Top Bottom