Biashara gani ulifanya ukiwa chuoni?

Chukua laki 2 nunua stocks za apple na amazon tuliz kufika wa 12 utanipa jib au chukua lak2 nunua cardano,pilkadot,chainlink na dogecoin tuliza had mwakan mwez kam huu
Unanunuaje mkuu?
 
Fiverr ni huduma /skills gani unatoa ?
Coin gani umenunua?
 
Hv kupata eneo ndani ya chuo kufungua biashara linagharimu bei gani Mfano CBE,DIT kwa dar na SAUT kwa Mwanza, Au vyuo vya Mbeya??
 
Mawazo mazuri sana mkuu hongera.
 
Nipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri.

Mawazo yenu yana umuhimu.

Chuo: UDOM
Naskia UDOM ni cha KATA et kweli!?
 
Nipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri.

Mawazo yenu yana umuhimu.

Chuo: UDOM
Mkuu umeshapata cha kufanya? DOTHRAK
 
Fiverr, Upwork, Freelancer.com, Guru, PeoplePer Hour etc. Hayo majukwaa kujiunga ni Bure tu, ni wewe na skills zako, smartphone/PC na bundle la internet afu ukibahatika kupata order unaanza kupiga kazi.
Ushauri bora kabisa, unao endana na hali halisi ya mwelekeo wa dunia kiajira.
 
sema wanachuo wenzangu
Hapa ndipo unakosea,

Tambua nyumbani umetoka peke yako, Na mwisho wa masomo kila mmoja atakuwa na maisha yake akipambana kivyake.

Fanya kile chenye manufaa kwako kwa sasa na kwa maisha yako ya baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…