Biashara gani ulifanya ukiwa chuoni?

Biashara gani ulifanya ukiwa chuoni?

Chukua laki 2 nunua stocks za apple na amazon tuliz kufika wa 12 utanipa jib au chukua lak2 nunua cardano,pilkadot,chainlink na dogecoin tuliza had mwakan mwez kam huu
Unanunuaje mkuu?
 
Mkuu na Mimi mwakani ndo namaliza chuo Niko level kama yako, ila nakushauri jifunze skills tofauti tofauti then jisajili kwenye freelancing platform kama Fiverr, Upwork, Freelancer.com, Guru, PeoplePer Hour etc. Hayo majukwaa kujiunga ni Bure tu, ni wewe na skills zako, smartphone/PC na bundle la internet afu ukibahatika kupata order unaanza kupiga kazi.

Kwa upande wangu kwenye freelancing platform kazi nyingi nazipata Fiverr. Ko Kwa mwezi naangiza zaidi ya laki 4 sometimes laki 7+ ila Kuna miezi mingine naambulia laki 2+ ila Kwa kuwa bado nipo chuo na boom napokea, hiyo Hela inatosha kupata mahi Taj yangu ya muhim na kuoongezea Hela ya ada make serikali inanichangia nusu ya fees. Kama ilivyobiashara nyingine unaweza kupata order au usipate ila ukikua technique za kuuza skills zako order unapata kama kawaida.

Pia Kuna mdau amekushauri ununue coin na u-hold wazee wa crypto currency wanasema HODL! HODL! na yenyewe ni njia nzuri.

Mimi baada ya kufahamu crypto currency, sahz na-hold zaidi ya coin 10. Ukitaka upate faida zaidi nunua hizi coin mpya mpya.
NOTE: NOT FINANCIAL ADVICE DO YOUR OWN RESEARCH (DYOR)

Mbali na hayo nipo na website na YouTube channel japo havijaanza kuniingizia kipato, ila naplan kuifanya YouTube channel yangu na Website viniingizie kipato mbeleni.

Good luck kwenye safari yako ya kutafuta mi-dollar[emoji383][emoji389]
Fiverr ni huduma /skills gani unatoa ?
Coin gani umenunua?
 
Hv kupata eneo ndani ya chuo kufungua biashara linagharimu bei gani Mfano CBE,DIT kwa dar na SAUT kwa Mwanza, Au vyuo vya Mbeya??
 
Mkuu na Mimi mwakani ndo namaliza chuo Niko level kama yako, ila nakushauri jifunze skills tofauti tofauti then jisajili kwenye freelancing platform kama Fiverr, Upwork, Freelancer.com, Guru, PeoplePer Hour etc. Hayo majukwaa kujiunga ni Bure tu, ni wewe na skills zako, smartphone/PC na bundle la internet afu ukibahatika kupata order unaanza kupiga kazi.

Kwa upande wangu kwenye freelancing platform kazi nyingi nazipata Fiverr. Ko Kwa mwezi naangiza zaidi ya laki 4 sometimes laki 7+ ila Kuna miezi mingine naambulia laki 2+ ila Kwa kuwa bado nipo chuo na boom napokea, hiyo Hela inatosha kupata mahi Taj yangu ya muhim na kuoongezea Hela ya ada make serikali inanichangia nusu ya fees. Kama ilivyobiashara nyingine unaweza kupata order au usipate ila ukikua technique za kuuza skills zako order unapata kama kawaida.

Pia Kuna mdau amekushauri ununue coin na u-hold wazee wa crypto currency wanasema HODL! HODL! na yenyewe ni njia nzuri.

Mimi baada ya kufahamu crypto currency, sahz na-hold zaidi ya coin 10. Ukitaka upate faida zaidi nunua hizi coin mpya mpya.
NOTE: NOT FINANCIAL ADVICE DO YOUR OWN RESEARCH (DYOR)

Mbali na hayo nipo na website na YouTube channel japo havijaanza kuniingizia kipato, ila naplan kuifanya YouTube channel yangu na Website viniingizie kipato mbeleni.

Good luck kwenye safari yako ya kutafuta mi-dollar[emoji383][emoji389]
Mawazo mazuri sana mkuu hongera.
 
Nipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri.

Mawazo yenu yana umuhimu.

Chuo: UDOM
Naskia UDOM ni cha KATA et kweli!?
 
Nipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri.

Mawazo yenu yana umuhimu.

Chuo: UDOM
Mkuu umeshapata cha kufanya? DOTHRAK
 
Fiverr, Upwork, Freelancer.com, Guru, PeoplePer Hour etc. Hayo majukwaa kujiunga ni Bure tu, ni wewe na skills zako, smartphone/PC na bundle la internet afu ukibahatika kupata order unaanza kupiga kazi.
Ushauri bora kabisa, unao endana na hali halisi ya mwelekeo wa dunia kiajira.
 
sema wanachuo wenzangu
Hapa ndipo unakosea,

Tambua nyumbani umetoka peke yako, Na mwisho wa masomo kila mmoja atakuwa na maisha yake akipambana kivyake.

Fanya kile chenye manufaa kwako kwa sasa na kwa maisha yako ya baadae.
 
Back
Top Bottom