kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Kama skills gani? Unaweza kuziolozeshaila nakushauri jifunze skills tofauti tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama skills gani? Unaweza kuziolozeshaila nakushauri jifunze skills tofauti tofauti
Unanunuaje mkuu?Chukua laki 2 nunua stocks za apple na amazon tuliz kufika wa 12 utanipa jib au chukua lak2 nunua cardano,pilkadot,chainlink na dogecoin tuliza had mwakan mwez kam huu
Fiverr ni huduma /skills gani unatoa ?Mkuu na Mimi mwakani ndo namaliza chuo Niko level kama yako, ila nakushauri jifunze skills tofauti tofauti then jisajili kwenye freelancing platform kama Fiverr, Upwork, Freelancer.com, Guru, PeoplePer Hour etc. Hayo majukwaa kujiunga ni Bure tu, ni wewe na skills zako, smartphone/PC na bundle la internet afu ukibahatika kupata order unaanza kupiga kazi.
Kwa upande wangu kwenye freelancing platform kazi nyingi nazipata Fiverr. Ko Kwa mwezi naangiza zaidi ya laki 4 sometimes laki 7+ ila Kuna miezi mingine naambulia laki 2+ ila Kwa kuwa bado nipo chuo na boom napokea, hiyo Hela inatosha kupata mahi Taj yangu ya muhim na kuoongezea Hela ya ada make serikali inanichangia nusu ya fees. Kama ilivyobiashara nyingine unaweza kupata order au usipate ila ukikua technique za kuuza skills zako order unapata kama kawaida.
Pia Kuna mdau amekushauri ununue coin na u-hold wazee wa crypto currency wanasema HODL! HODL! na yenyewe ni njia nzuri.
Mimi baada ya kufahamu crypto currency, sahz na-hold zaidi ya coin 10. Ukitaka upate faida zaidi nunua hizi coin mpya mpya.
NOTE: NOT FINANCIAL ADVICE DO YOUR OWN RESEARCH (DYOR)
Mbali na hayo nipo na website na YouTube channel japo havijaanza kuniingizia kipato, ila naplan kuifanya YouTube channel yangu na Website viniingizie kipato mbeleni.
Good luck kwenye safari yako ya kutafuta mi-dollar[emoji383][emoji389]
Mawazo mazuri sana mkuu hongera.Mkuu na Mimi mwakani ndo namaliza chuo Niko level kama yako, ila nakushauri jifunze skills tofauti tofauti then jisajili kwenye freelancing platform kama Fiverr, Upwork, Freelancer.com, Guru, PeoplePer Hour etc. Hayo majukwaa kujiunga ni Bure tu, ni wewe na skills zako, smartphone/PC na bundle la internet afu ukibahatika kupata order unaanza kupiga kazi.
Kwa upande wangu kwenye freelancing platform kazi nyingi nazipata Fiverr. Ko Kwa mwezi naangiza zaidi ya laki 4 sometimes laki 7+ ila Kuna miezi mingine naambulia laki 2+ ila Kwa kuwa bado nipo chuo na boom napokea, hiyo Hela inatosha kupata mahi Taj yangu ya muhim na kuoongezea Hela ya ada make serikali inanichangia nusu ya fees. Kama ilivyobiashara nyingine unaweza kupata order au usipate ila ukikua technique za kuuza skills zako order unapata kama kawaida.
Pia Kuna mdau amekushauri ununue coin na u-hold wazee wa crypto currency wanasema HODL! HODL! na yenyewe ni njia nzuri.
Mimi baada ya kufahamu crypto currency, sahz na-hold zaidi ya coin 10. Ukitaka upate faida zaidi nunua hizi coin mpya mpya.
NOTE: NOT FINANCIAL ADVICE DO YOUR OWN RESEARCH (DYOR)
Mbali na hayo nipo na website na YouTube channel japo havijaanza kuniingizia kipato, ila naplan kuifanya YouTube channel yangu na Website viniingizie kipato mbeleni.
Good luck kwenye safari yako ya kutafuta mi-dollar[emoji383][emoji389]
Naskia UDOM ni cha KATA et kweli!?Nipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri.
Mawazo yenu yana umuhimu.
Chuo: UDOM
Tembelea tovuti za vyuo huwa wanatoa matangazoHv kupata eneo ndani ya chuo kufungua biashara linagharimu bei gani Mfano CBE,DIT kwa dar na SAUT kwa Mwanza, Au vyuo vya Mbeya??
Mkuu umeshapata cha kufanya? DOTHRAKNipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri.
Mawazo yenu yana umuhimu.
Chuo: UDOM
Ushauri bora kabisa, unao endana na hali halisi ya mwelekeo wa dunia kiajira.Fiverr, Upwork, Freelancer.com, Guru, PeoplePer Hour etc. Hayo majukwaa kujiunga ni Bure tu, ni wewe na skills zako, smartphone/PC na bundle la internet afu ukibahatika kupata order unaanza kupiga kazi.
shukraniTembelea tovuti za vyuo huwa wanatoa matangazo
Mkuu nimejaribu kudadavua kwa ufupi na wewe unaweza kuongezeaELEZEA KWA UNDANI NMAANA TEETH HAWAELEWEKI
Pitia huu Uzi uchague skills zenye demand According to Upwork: Upwork Unveils Top 10 Most In-Demand Skills for Technology, Marketing, and Customer Service Independent Talent in 2022 | UpworkKama skills gani? Unaweza kuziolozesha
Natengeneza Telegram bot pia ni social Media manager etcFiverr ni huduma /skills gani unatoa ?
Coin gani umenunua?
Ahsante mkuuMawazo mazuri sana mkuu hongera.
Sahihi mkuu, sema wanachuo wenzangu nikiwaelekeza wanakaza kichwa [emoji23][emoji23]Ushauri bora kabisa, unao endana na hali halisi ya mwelekeo wa dunia kiajira.
Hapa ndipo unakosea,sema wanachuo wenzangu