Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanyabiashara lakini iliyobaki inaweza hata kusababisha biashara ife ambayo inawakilisha mjasiriamali na yanayomzunguka na hili ndilo tatizo kubwa la biashara za mablack, (wabongo)Biashara za kibongo bongo ni kizungumkuti sana ila kwa mtaji ulio nao success rate ni 90%
Nicheki PM.Je, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?
Mimi nilikuwa nafahamu kwamba asilimia kubwa ya mafanikio ya biashara yanatokana na uwepo wa watejaAsilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanyabiashara lakini iliyobaki inaweza hata kusababisha biashara ife ambayo inwakilisha mjasiriamali na yanayomzunguka na hili ndilo tatizo kubwa la biashara za mablack, (wabongo)
Hapana hata mimi kabla sijabahatika kupata elimu ya ujasiriamali nilijigamba kwamba mimi ni fundi mzuri wateja watakuja tu kuna vitu vingi vya kujifunzaMimi nilikuwa nafahamu kwamba asilimia kubwa ya mafanikio ya biashara yanatokana na uwepo wa wateja
Unaweza ukawa na 1b bila wateja hio biashara itakufa
Yap unaweza kuwa ni fundi mzuri una uwezo ila wateja huna mamlaka naoHapana hata mimi kabla sijabahatika kupata elimu ya ujasiriamali nilijigamba kwamba mimi ni fundi mzuri wateja watakuja tu kuna vitu vingi vya kujifunza
Biashara ni watu lakini hao watu ili waje kwako hapo ndiyo unatakiwa ufanye kazi ya ziada hiyo kitaalamu tunaita personal entrepreneurial competences or traitsYap unaweza kuwa ni fundi mzuri una uwezo ila wateja huna mamlaka nao
Je, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?
Niwatengenezeeni mchanganuo wa biashara yaani business planSema kweli kama una B1 tuwe marafiki mi nina B 2 sema nashindwa kuziendeleza lengo langu kufika B5
Kuna aina hata kumi za nguruweHao Nguruwe ni aina gani?
Unawezakuta hiyo ni hela yetu wananchi na hatuna maji na umeme, sasa akiendelea si tutakufa?Biashara uliyoifanya ikakuingizia hiyo B1, ndo unayopaswa kuendelea nayo.
[emoji848]Unawezakuta hiyo ni hela yetu wananchi na hatuna maji na umeme, sasa akiendelea si tutakufa?
Kubet mkuu tena iyo 300m ni ndan ya masaa tushaingizaJe, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?
Uza mbao/mazao yanayohusu mali asili hautajuta.Je, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?
Wekeza kwenye tech company 10 @100m af chukua commission zako Kwa mwaka 30m Kwa kila kampuniJe, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?
Yan mkuu una 1B unafungua whole sale pharmacy? Why an π€Dawa za hospitali za binadamu.
Tatufa kanda yako katika nchi hii, ambako ushindani sio mkubwa sana. Fungua Pharmacy, uza kwa jumla, wasambazie wenye maduka ya dawa, vi-discount vya hapa na pale.
Ikiwezekana unafungua na maduka ya dawa baridi za binadamu katika maeneo yenye tija, unakuwa unajisambazia.
Mkuu, nilimaanisha ulichokisema hapo.Yan mkuu una 1B unafungua whole sale pharmacy? Why an π€
Kwa mtaji huo bora ajikite kwenye importation za drugs, akiweza aende china akawe anatoa kabisa dawa kwa brand yake ili mtaji ukikua ajenge kiwanda chake hapa hapa Bongo
MmmmmhhhhhhhJe, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?
Ukiweka mambo mengi hivo mwanzon shida, bora ajikite tu kuimport specific drugs, yan awe wakala wa viwanda vya China/ India hapa bongoMkuu, nilimaanisha ulichokisema hapo.
Kuna jamaa wapo pale dodoma ndio wanafanya hivyo;
*Wana-import wenyewe
*Wana wholesale pharmacies, ambazo zinatumika ku-supply kwenye maduka madogo ya dawa.
*Wana 1. Kituo cha afya
2. Specialist clinic,
vyote dodoma, ambapo wana jiuzia dawa
*Wanamiliki chuo cha kati, wanafunzi wakiumwa wanapelekwa kwenye kituo chao cha afya au specialist clinic, ambapo mwisho wa siku wanapewa dawa kutoka hapo juu, jamaa wana-make super profit.
Wamejitengenezea ka mduara fulani hivi kwenye biashara yao.
Kutengeneza brand yako ya dawa ni shughuli pevu ππΏ