Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

Biashara za kibongo bongo ni kizungumkuti sana ila kwa mtaji ulio nao success rate ni 90%
Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanyabiashara lakini iliyobaki inaweza hata kusababisha biashara ife ambayo inawakilisha mjasiriamali na yanayomzunguka na hili ndilo tatizo kubwa la biashara za mablack, (wabongo)
 
Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanyabiashara lakini iliyobaki inaweza hata kusababisha biashara ife ambayo inwakilisha mjasiriamali na yanayomzunguka na hili ndilo tatizo kubwa la biashara za mablack, (wabongo)
Mimi nilikuwa nafahamu kwamba asilimia kubwa ya mafanikio ya biashara yanatokana na uwepo wa wateja
Unaweza ukawa na 1b bila wateja hio biashara itakufa
 
Mimi nilikuwa nafahamu kwamba asilimia kubwa ya mafanikio ya biashara yanatokana na uwepo wa wateja
Unaweza ukawa na 1b bila wateja hio biashara itakufa
Hapana hata mimi kabla sijabahatika kupata elimu ya ujasiriamali nilijigamba kwamba mimi ni fundi mzuri wateja watakuja tu kuna vitu vingi vya kujifunza
 
Kwa mtaji wa B1 mil 300 ni hela ndogo sana kuongiza kwa mwaka mzima

Biashara ya electronics unaweza ingiza faida ya hata 2b kwa mwaka uki invest 1B
 
Dawa za hospitali za binadamu.

Tatufa kanda yako katika nchi hii, ambako ushindani sio mkubwa sana. Fungua Pharmacy, uza kwa jumla, wasambazie wenye maduka ya dawa, vi-discount vya hapa na pale.

Ikiwezekana unafungua na maduka ya dawa baridi za binadamu katika maeneo yenye tija, unakuwa unajisambazia.
Yan mkuu una 1B unafungua whole sale pharmacy? Why an 🤔

Kwa mtaji huo bora ajikite kwenye importation za drugs, akiweza aende china akawe anatoa kabisa dawa kwa brand yake ili mtaji ukikua ajenge kiwanda chake hapa hapa Bongo
 
Mkuu, nilimaanisha ulichokisema hapo.

Kuna jamaa wapo pale dodoma ndio wanafanya hivyo;
*Wana-import wenyewe
*Wana wholesale pharmacies, ambazo zinatumika ku-supply kwenye maduka madogo ya dawa.
*Wana 1. Kituo cha afya
2. Specialist clinic,
vyote dodoma, ambapo wana jiuzia dawa
*Wanamiliki chuo cha kati, wanafunzi wakiumwa wanapelekwa kwenye kituo chao cha afya au specialist clinic, ambapo mwisho wa siku wanapewa dawa kutoka hapo juu, jamaa wana-make super profit.

Wamejitengenezea ka mduara fulani hivi kwenye biashara yao.

Kutengeneza brand yako ya dawa ni shughuli pevu 🙌🏿
 
Je, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?
Mmmmmhhhhhhh

Uko serious or you're just making funny of people??

Hiyo billion moja umeipataje halafu ukashindwa kujua biashara ya kuiwekeza hiyo billion moja kupata 300m kwa mwezi???

Biashara inaathiriwa na vitu vingi sana,
1. Management
2. Cost za kuzalisha au kununua bidhaa zako
3. Marketing, Customer care and network
4. Legal issues; kama adherence na legal framework governing your business

Kwa ufupi siyo just wazo BALI kuna vingi ndani yake...
 
Mkuu, nilimaanisha ulichokisema hapo.

Kuna jamaa wapo pale dodoma ndio wanafanya hivyo;
*Wana-import wenyewe
*Wana wholesale pharmacies, ambazo zinatumika ku-supply kwenye maduka madogo ya dawa.
*Wana 1. Kituo cha afya
2. Specialist clinic,
vyote dodoma, ambapo wana jiuzia dawa
*Wanamiliki chuo cha kati, wanafunzi wakiumwa wanapelekwa kwenye kituo chao cha afya au specialist clinic, ambapo mwisho wa siku wanapewa dawa kutoka hapo juu, jamaa wana-make super profit.

Wamejitengenezea ka mduara fulani hivi kwenye biashara yao.

Kutengeneza brand yako ya dawa ni shughuli pevu 🙌🏿
Ukiweka mambo mengi hivo mwanzon shida, bora ajikite tu kuimport specific drugs, yan awe wakala wa viwanda vya China/ India hapa bongo
 
Back
Top Bottom