Biashara gani ya haraka nifanye niwe billionea?

Biashara gani ya haraka nifanye niwe billionea?

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
520
Reaction score
1,498
Nahitaji kuwa billionea kwa haraka sana kama Vunja Bei, Diamond Plantumz.

Ideas gani nzuri ya biashara kama nikija nayo nitafanikiwa kwa haraka sana.
 
Njia rahisi ya kua tajiri Ni hizi:

* Wizi
Hapa inatakiwa utumie akili Sana mfano kama upo kitengo flani serikalini au kampuni binafsi unaweza kupiga pesa za mradi ili mradi tu usishtukiwe ( lazima uhusishe na wengine)

* Utapeli
Kama una muda m-google jamaa Anaitwa hushpuppy yule mnaijeria hatari au gugo kuhusu Yahoo boys na mishe zao za utapeli wa mitando ukifanikiwa utakua umetusua fasta tu!

* Biashara haramu
Mfano kuuza dawa za kulevya Kama bangi na mirungi (unahitaji connection vinginevyo utaishia nyuma ya nondo)

* Kwepa kulipa Kodi
Unaweza kupiga dili za magendo Kama umewahi kuishi mipakani utaelewa kirahisi hii michakato
Na mengine mengi
 
Unajua kwa wenzetu nchi za watu kuna maduli mengi. Watu wangiza pesa kwa vitu vya kipuuxi
1. Kuuza kucha
2. Kuuza Ushuzi
3. Kuuza Nywele
4. Kuuza sperms tena kuna sperm banks
5. Kushiriki Experimental works hasa za scientist
6. Kufanya stunt works
7. Jiunge na Stripping like stripping clubs
8. Sell organs like kidneys
9. Eating competitions
10. There was this show on television people were paid by eating nasty bad stuff like experied milk or bad bread

Etc
Just saying ukitaka hela hamia nchi za wenzetu perhaps unaweza kuelekea kwenye ubilionea
 
Hapo ulipo kama sio milionea basi kaushaa..usiskize stori za vunjabei eti alianza kuwa dalali wa viatu utajichanganya...
Tech startup huwa zonapandsha watu mpaka kuwa bilionea. Unauza idea na fund wanaweka mikono na the rest inabakia kuwa historia.
Kama ni geneus basi njoo na innovation matata uza wazo ndani ya miaka 4 unawezakuwa biloonea.
Eneo lingine ni mziki, yani kwenye mziki kama una kipaji unakuwa bilionea faster.
Eneo ambalo litawezesha watu kuwa bilionea kwenye tech ni high capacity batterycharge storage. Ukija na betfi inayotunza chaji nyingi na kuchukua eneo dogo utakuwa bilionea kumzid Elon.
 
2 : Invest kwenye Tech , Africa kuna fursa kubwa kwenye tech . Pesa nyingi sana zipo kwenye tech , ila Zina hitaji uwe mbunifu . Unaweza ukapiga mamilioni ya hela kupitia tech , ndani ya muda mchache haitaji kuchukua muda

1 : Invest katika Roho kabla hauja invest kwenye chochote.
Mhubiri 2 : 26 " Kwa yule mtu anayempendeza Mungu, Mungu humpa hekima, maarifa na furaha, bali kwa mwenye dhambi Mungu humpa kazi ya kukusanya na kuhifadhi utajiri ili Mungu ampe yule anayempenda. Hili nalo pia ni ubatili, ni kukimbiza upepo. "
 
Nahitaji kuwa billionea kwa haraka sana kama Vunja bei, diamond plantumz.

Ideas gani nzuri ya biashara kama nikija nayo nitafanikiwa kwa haraka sana.
Chukua kipodozi Congo na Zambia kilete Tanzania mikoa hii mbeya na Kagera .

Nishukuru badae ila ujue sheria itakuandama kama utakula pekee yako .

Ukifanikiwa nitafute tunywe mkojo wa shetani.
 
Tech startup huwa zonapandsha watu mpaka kuwa bilionea. Unauza idea na fund wanaweka mikono na the rest inabakia kuwa historia.
Kama ni geneus basi njoo na innovation matata uza wazo ndani ya miaka 4 unawezakuwa biloonea.
Eneo lingine ni mziki, yani kwenye mziki kama una kipaji unakuwa bilionea faster.
Eneo ambalo litawezesha watu kuwa bilionea kwenye tech ni high capacity batterycharge storage. Ukija na betfi inayotunza chaji nyingi na kuchukua eneo dogo utakuwa bilionea kumzid Elon.
Elezea kidogo kwenye mziki.. una experience?
 
Hapo ulipo kama sio milionea basi kaushaa..usiskize stori za vunjabei eti alianza kuwa dalali wa viatu utajichanganya...
Njoo kkoo uone watu hawana biashara zaidi ya udalali wa viatu tu na wanapata pesa kukidhi mahitaji yao. Kuna watu wanapiga mpaka 100k kwa siku asubui tu. Sasa kama vunjabei alikua kama hawa nao waona mimi bas alikua ana save mpaka akawa na mtaji wake
 
Back
Top Bottom