L Lemongrass Member Joined Apr 23, 2023 Posts 39 Reaction score 55 Jun 16, 2023 #1 Wanajamvi naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara itakayonipatia faida mtaji 10M, location - Arusha Note 1. Biashara ambayo haitahitaji usimamizi wangu wa karibu 2. Itakayonipa urahisi wa kumu-monitor nitakayemuweka kusimamia biashara
Wanajamvi naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara itakayonipatia faida mtaji 10M, location - Arusha Note 1. Biashara ambayo haitahitaji usimamizi wangu wa karibu 2. Itakayonipa urahisi wa kumu-monitor nitakayemuweka kusimamia biashara
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jun 19, 2023 #2 Kwa maana fupi tu bznes iwe yatima.
L Lemongrass Member Joined Apr 23, 2023 Posts 39 Reaction score 55 Jun 19, 2023 Thread starter #3 kawombe said: Kwa maana fupi tu bznes iwe yatima. Click to expand... Kulingana majukumu yangu mengine ya kazi ninayofanya itanibidi niajiri mtu atayesimamia biashara!
kawombe said: Kwa maana fupi tu bznes iwe yatima. Click to expand... Kulingana majukumu yangu mengine ya kazi ninayofanya itanibidi niajiri mtu atayesimamia biashara!
mchicha tembele New Member Joined Jun 14, 2023 Posts 4 Reaction score 1 Jun 20, 2023 #4 kawombe said: Kwa maana fupi tu bznes iwe yatima. Click to expand... nimecheka kwanguvu jamani😁😁
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,491 Reaction score 3,996 Jun 21, 2023 #5 kawombe said: Kwa maana fupi tu bznes iwe yatima. Click to expand... Yap, naona unahisi yatina lazima apate shida! Mimi pia ni yatina lakn najiweza
kawombe said: Kwa maana fupi tu bznes iwe yatima. Click to expand... Yap, naona unahisi yatina lazima apate shida! Mimi pia ni yatina lakn najiweza