Ukiwekeza kwa Geita maeneo ya Nyaruyeye na Nyarugusu,na kule Katoro itakulipa sana kiroba cha mawe cha 25kg miaka hile ya 2006 walikuwa wanasaga kwa 7000/= ss hivi nafikiri ni zaidi ya 10,000/= kusaga 25Kg inachukua dakika 24 mpaka 30minutes .
Hiyo kwa saa unaingiza si chini ya 20,000/= zidisha kwa masaa 20 unapata 400,000/= kwa siku kama faida japo kuna wengine mnaweza kukubaliana malipo yatafanyika intern of percentage ya kiasi cha gold itakayopatikana .
Kifupi ni biashara nzuri sana kuifanya kama una mtaji .