Tiles Tegeta zipo pale Namanga karibu na rabhininsia hospital, zipo nyingine pale dawasco kuna zingine ziipo njia ya ununio. Ukifika Karibu na bunju pale traffic wanasimama juu pale baada ya magengeni. Pia kuna tiles lake oil opposite kwwa chini pale, Bunju A kuna tiles, ukiwa unaelekea bunju sokoni, kuna sehemu traffick wanasimama kushoto kuna maduka ya tiles zaidi ya sita,. Ukivuka mapinga kuna tiles. Na hardware kubwa sana.
Na kuanzia hapo kuendelea hadi zinga ni tiles na.mahadware ya kufa mtu,
Nikirudi nyuma pale bunju sokoni kuna hardware kubwa sana imeandikwa MAKUNA..
Hizi hapa kwa majina.
TEGETA BUILDING HAARDWARE STORE.
MAPINDUZI HARDWARE
Jk HARDWARE
NAMANGA HARDWARE
ZOO HARDWARE TEGETA
WILLIE HARDWARE
MAPAMBANO HARDWOODS
KIMARO HARDWARE(Bingwa kabisa tegata wa kila kitu)
ALAFU KUNA BEDUI, HUYU WAJANJA WOTE WA MJINI, BUGURUNI KKOO NA TEGETA WANAMFAHAMU VIZURI.
Sasa wewe upo tegata Gani?
Hawa wote nasupply mzigo kwao.
Usiseme hamna HARDWARE,sema una eneo unataka mtu awekeze. Tegata hardware kubwa ni nyingi saaaaaaaaana.