Biashara ikianza kuwa ngumu unaanza kujikosoa, "hivi ni mimi niliesema ajira ya kupokea mshahara kila mwezi na posho za kila wiki ni utumwa ?"

Shida yetu kubwa sisi watanzania hatuna elimu ya biashara
Uzi huu ni ushahidi tosha kuthibitisha hilo.

Ukitaka kuwa mfanyabiashara ni LAZIMA ujiulize haya maswali na upate majibu

1. Kwanini nataka kufanya biashara?
2. Nina ujuzi wa kutosha wa biashara ninayotaka kufanya?
3. Nina muda wa kusimamia biashara yangu/wazo langu?
4. Je Mimi ni mbunifu na niko tayari kukabiliana na changamoto ninazozijua na nisizozijua huko mbeleni?
5. Je mimi ni mwaminifu?

Biashara inahitaji muda kuliko pesa
Wale wanaotanguliza pesa kabla ya kutoa muda wao kujifunza na kuelewa vyema biashara husika huishia kupoteza.

Muda, ujuzi, uaminifu, nidhamu na uvumilivu ni mitaji mikubwa kuliko pesa kwenye biashara.

JIFUNZE KWANZA!
 
Nashudia live haya mambo nipo kwenye taasisi ambayo wafanyabiashara inabidi watoe maelezo yenye ushahidi wa hali zao kibiashara ili tuweze kuwasaidia kama wadhamini wa shida wanazopitia,

itoshe kusema wafanyabiashara waliofanikiwa ni wachache, usikurupuke kutamani biashara kwa kuwaangalia hawa wachache ukadhani wengi wana hali hizo, utavamia mtumbwi wa vibwengo !!

kiuhlisia wafanya biashara wengi sana wanapitia magumu kwa stress za marejesho ya mikopo, wateja wachache, ushindani kuharibu faida, kushinda ofisini kila siku asubuhi hadi usiku, kushindwa kulipia frem, kufirisika, n.k,

ni tofauti na waajiriwa wengi hasa wa serikalini, hawafikii mafanikio ya wafanyabiashara wachache matajiri lakini angalau wana uhakika wa kipato.

Unaanza kujiuliza, "hivi ni mimi niliesema ajira ya kupokea mshahara kila mwezi na posho za kila wiki ni utumwa ?"
Biashara stress nyingi sana sema naipenda kwakuwa haipo static ipo dynamic kuna muda unaingiza mtonyo wa ukweli kuna muda unafulia kwelikweli sio sawa na ajira kama unapata let say take home lk 3 unusu ndo hiyohiyo huku ukisubiri ahadi ya mama wa taifa
 
Ila mikopo sometimes inaua biashara hasa yenye interest kubwa ni bora ukiweza jitutumue na pesa yako mwenyewe hadi ufike kiwango
 
Ni noma mbona Hali imekuwa ngumu iv napata invoice za ndugu wengi na mm cn maisha cjui nitumie yup nimuache yupi.
Kuna umri ukifika utaacha hayo mambo ya kugeuka mtoa misaada kwa ndugu ila kwa saizi umri wako yawezekana unakuruhusu kufanya hayo mambo. 11 years ago I was 25 na nilianza kushika pesa nikageuka charity case toa sana pesa kwa ndugu, baada ya kuoa nikagundua hata wazazi sio jukumu langu kuwajengea au kuwapa maisha kama walifeli ujanani mwao basi imeisha hiyo, naangalia watoto wangu sasa ili nao wasije Sema baba alizingua.
 
Yaan frem ni gharama...
Mtu unakuta unafanya biashara...pesa yote inaishia kwenye frame,unabaki na madeni yanakutazama!!!
Usione mtu town ana duka akili yote anawaza Kodi ya frame aisee nilikuwa na frame aisee nilikimbia mwenyewe bila, matumizi yamezidi kipato
 
Dodoma fremu milion moja kwa miezi 10, mfano zile pale TRA ya zamani,

Unawazaa uweke biashara gani izungushe hiyo hela plus mishahara ya wafanyakazi, TRA wazee wa kusema tumekusanya Trilioniii, manispaa, mlinzi, umeme, taka. Unakuwa mpolee
 
Maelf ya fremu zinarudishwa kwa wenye nazo, na maelf za start up business wanazichukua ili nao waunge mkono kuzirudisha baada ya kodi ya miezi 12.

Ila upepo wa biashara ni mbaya....mbaya.....mbaya....mbaya sana
Halafu kuna " maku " mmoja amevimbiwa mishahara ya serikali anataka kijana aliyemaliza chuo na asiye na mtaji ajiajiri
Pumbavu

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Ngumu sana brother, ukiachia mbalu mtaji ile experince (uzoefu) tu ni jambo kubwa katika biashara. Sasa mtu katoka UDOM kukariri types of social conflicts atajiajiri kwenye nini?
 
Usione mtu town ana duka akili yote anawaza Kodi ya frame aisee nilikuwa na frame aisee nilikimbia mwenyewe bila, matumizi yamezidi k

Usione mtu town ana duka akili yote anawaza Kodi ya frame aisee nilikuwa na frame aisee nilikimbia mwenyewe bila, matumizi yamezidi kipato
Ukafanyaje??
Nipe maujanja...me Kodi inaisha mwezi wa 4 hata sielewi!!!!
Nadataa
 
Nashudia live haya mambo nipo kwenye taasisi ambayo wafanyabiashara inabidi watoe maelezo yenye ushahidi wa hali zao kibiashara ili tuweze kuwasaidia kama wadhamini wa shida wanazopitia,

itoshe kusema wafanyabiashara waliofanikiwa ni wachache, usikurupuke kutamani biashara kwa kuwaangalia hawa wachache ukadhani wengi wana hali hizo, utavamia mtumbwi wa vibwengo !!

kiuhlisia wafanya biashara wengi sana wanapitia magumu kwa stress za marejesho ya mikopo, wateja wachache, ushindani kuharibu faida, kushinda ofisini kila siku asubuhi hadi usiku, kushindwa kulipia frem, kufirisika, n.k,

ni tofauti na waajiriwa wengi hasa wa serikalini, hawafikii mafanikio ya wafanyabiashara wachache matajiri lakini angalau wana uhakika wa kipato.

Unaanza kujiuliza, "hivi ni mimi niliesema ajira ya kupokea mshahara kila mwezi na posho za kila wiki ni utumwa ?"
Kawaida kwenye biashara kuna kupanda na kushuka

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli tabu mitaji ni midogo unajitahidi angalau uajiri na upate atakayekuibia kidogo wakati ukijipanga na mengine.
wife ukimueka wakati mwingine ndo linaweza kuwa balaa tu atalisimamia kwa chips na tusker 2 baridi mambo yatakuwa zaidi ya yaleyale.
Mimi vijana wangu juzi wamenipiga 500k na hali ilivyo ngumu nimewatema chini now nipo mwenyewe na mdogo wangu huwa ananisaidia akirudi chuo jioni.vijana siku hizi hawaaminiki tamaa mbelee wanataka kutoboa faster

Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
inauma sana matokeo yake ajira zinazidi kutoka mtaani kwa kuwa watu wanakopa wanawekeza kwenye Govement Bond. kwa kuwa ukiingiza mtaji mdogo jamaa wanakupiga bila huruma.
 
Nashudia live haya mambo nipo kwenye taasisi ambayo wafanyabiashara inabidi watoe maelezo yenye ushahidi wa hali zao kibiashara ili tuweze kuwasaidia kama wadhamini wa shida wanazopitia,

itoshe kusema wafanyabiashara waliofanikiwa ni wachache, usikurupuke kutamani biashara kwa kuwaangalia hawa wachache ukadhani wengi wana hali hizo, utavamia mtumbwi wa vibwengo !!

kiuhlisia wafanya biashara wengi sana wanapitia magumu kwa stress za marejesho ya mikopo, wateja wachache, ushindani kuharibu faida, kushinda ofisini kila siku asubuhi hadi usiku, kushindwa kulipia frem, kufirisika, n.k,

ni tofauti na waajiriwa wengi hasa wa serikalini, hawafikii mafanikio ya wafanyabiashara wachache matajiri lakini angalau wana uhakika wa kipato.

Unaanza kujiuliza, "hivi ni mimi niliesema ajira ya kupokea mshahara kila mwezi na posho za kila wiki ni utumwa ?"
Nina biashara ya hdw ila had sasabado natafuta kazi
 
Back
Top Bottom