bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,215
- 322
Wapendwa, nina miaka miwili sasa nikijishugulisha na kilimo kama biashara, na kinanilipa kiasi chake.nimepanga kuisajiri biashara yangu, kuwa inajihusisha na kilimo na ufugaji wa kuku ingawa kuku bado hata sijajenga mabanda,lengo la kuja jukwaani ni kupata uelewa kuhusu hili, nimepanga kuhama kimakazi mwakani miezi ya march na kuhamia mkoa mwingine, nikisajiri kwa sasa nitaweka anuani ya sasa vipi nikihama haitanisumbua kubadili anuani BRELA? au niache kwanza nitasajiria kwenye makaz mapya?
msaada tafadhari.
msaada tafadhari.