biashara iliyo sajiliwa inaweza kuhama?

biashara iliyo sajiliwa inaweza kuhama?

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,215
Reaction score
322
Wapendwa, nina miaka miwili sasa nikijishugulisha na kilimo kama biashara, na kinanilipa kiasi chake.nimepanga kuisajiri biashara yangu, kuwa inajihusisha na kilimo na ufugaji wa kuku ingawa kuku bado hata sijajenga mabanda,lengo la kuja jukwaani ni kupata uelewa kuhusu hili, nimepanga kuhama kimakazi mwakani miezi ya march na kuhamia mkoa mwingine, nikisajiri kwa sasa nitaweka anuani ya sasa vipi nikihama haitanisumbua kubadili anuani BRELA? au niache kwanza nitasajiria kwenye makaz mapya?
msaada tafadhari.
 
Subiri uhame ndo usajili, au kama utaweza kufata process za kubadilisha pia ni sawa inawezekana.
 
Wapendwa, nina miaka miwili sasa nikijishugulisha na kilimo kama biashara, na kinanilipa kiasi chake.nimepanga kuisajiri biashara yangu, kuwa inajihusisha na kilimo na ufugaji wa kuku ingawa kuku bado hata sijajenga mabanda,lengo la kuja jukwaani ni kupata uelewa kuhusu hili, nimepanga kuhama kimakazi mwakani miezi ya march na kuhamia mkoa mwingine, nikisajiri kwa sasa nitaweka anuani ya sasa vipi nikihama haitanisumbua kubadili anuani BRELA? au niache kwanza nitasajiria kwenye makaz mapya?
msaada tafadhari.
Inawezekana vyovyote kuhamisha au kufungua tawi, mradi sehemu unayohamia inakidhi vigezo vya biashara yako.
 
asanteni nimepata mwanga, vipi kuhama mkoa lazima uende brela tena au nikukata lesen nyingine halmashauli unako hamia tu?
 
Back
Top Bottom