alumelunda
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 753
- 918
NimeshangaaKwa hiyo milion 10 ni mtaji mdogo? Kwa hiyo mtaji sahihi wa kuanzisha biashara ni shi ngapi?
Taja hayo mamboHata kama uwe professor wa biashara, kuna mambo katika ulimwengu wa roho kama huyajui unazidiwa na mtu ambae hajui hata kusoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nina boda moja na chamoto nakiona yani mtu anakaa siku 5 bila tarifa bila hesabu ... hapa nlipo na tafta mtu mwaminifu ila sasa ntampa masharti makali kidgoBoda boda hawa hawa wa mtaani ambaye anakaa wiki tatu bila kukuletea hesabu,,,,ukiwa nayo moja utaona ni rahisi ila ongezea mbili au tatu ndipo utaona mziki vijana wengi siyo waaminifu watakutia stress utauza boda zote vijana waaminifu ni mmoja kati ya kumi
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hv nn dawa ya chuma ulete ndgu....mana naona maeneo ytu huku ni maarufu sana....Mleta mada ulikuwa huongi, hakuna chuma ulete hapo kwako?
Biashara mlikuwa mnauza watu wangapi?
Upo mkoa gani mkuu,mimi nije nichukue fremu ?Hizi biashara bana, zinahitaji commitment ya hali ya juu sana, nawapongeza sana watu wote mliofanikiwa katika biashara.
Mimi sijui nilikosea wapi aisee, maana duka lilikuwa na mtaji wa around 10m, sasa hivi limebaki na 3.2m nimeamua kuuza bidhaa kwa bei ya jumla na kulifunga tu hilo duka, sitaki pressure tena.
Inategemea aina ya biashara,mfano biashara yenye faida ndogo km ya mahitaji ya nyumbani huo mtaji ni mdogo,lkn kwa biashara ya Chakula kwasababu ina faida kubwa huo mtaji ni mkubwa.Kwa hiyo milion 10 ni mtaji mdogo? Kwa hiyo mtaji sahihi wa kuanzisha biashara ni shi ngapi?
Weka mkaa kwenye droo ya pesa pia angalia sana mteja asikupe pesa na mkono wa kushoto.Hv nn dawa ya chuma ulete ndgu....mana naona maeneo ytu huku ni maarufu sana....
NotedMkuu mimi nina boda moja na chamoto nakiona yani mtu anakaa siku 5 bila tarifa bila hesabu ... hapa nlipo na tafta mtu mwaminifu ila sasa ntampa masharti makali kidgo
Na cha kuwafanya unakuwa huna
Nakubali mkuu, nina mdogo wangu alianza na matunda akawa anapiga faida ya maana tu, baada ya umaarufu akanza kutengeneza na fresh juices.Tatizo watu muna dharau biashara ndogo ndogo ..mfano kuuza matunda kwa mtaji wa M4 tu ukosi Hadi 70k kila siku Kama Net Profit.
Biashara ya 500K inakufanya ule bata(starehe) yenye thamani gani?? Unajua watu mnayachukulia maisha simple sana, unless uwe na biashara ya genge la nyanya.Acha masiara watu tuna mitaji ya laki tano familia zinaishi raha mstarehe na bia tunagonga na michepuko inakura bata
Pole sana mkuu ila umefanya haraka kurudisha fremu ilitakiwa ufait upate ule mtungi wa kujazia upepeOil, betri za magari na matairi. Lilikuwa Goba Dar.
Mkuu Mtoto wa nzi mleta mada alikosea sana Frequent stock count kwenye biashara ya uchuuzi ni lazima, bila hvyo utafilisika tu!Ulikuwa haufanyi Stock-Taking angalau Kila wiki!!?? Mpaka mtaji na supplies zinakuwa depleted Mzee kiasi mpaka 3.M!!? Ulipunguza umaini na kumuamini dogolasi.
Unajua katika Biashara tunazosisimamia ama kusimamiwa na ndugu zetu tuna Exempt sana Wage Bill, Time, Storage and Mostly we consider Transport coats of which is not the true cost of operation in Broad way.... Kuna namna nawaangaliaga Hawa Motivational Speakers nasema ... Hiiiiiii.... Sio kweli.... Kwa nafasi niliypo... Haina manufaa yoyote kuanzia TasafI mpaka hii ... UKINIPINGA NIJIE NA FACT SIO POYOYO..NIPO JIKONI....Mkuu Mtoto wa nzi mleta mada alikosea sana Frequent stock count kwenye biashara ya uchuuzi ni lazima, bila hvyo utafilisika tu!
Bila kuloga biashara hutoboiHizi biashara bana, zinahitaji commitment ya hali ya juu sana, nawapongeza sana watu wote mliofanikiwa katika biashara.
Mimi sijui nilikosea wapi aisee, maana duka lilikuwa na mtaji wa around 10m, sasa hivi limebaki na 3.2m nimeamua kuuza bidhaa kwa bei ya jumla na kulifunga tu hilo duka, sitaki pressure tena.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jamii forum watu hawapo serious sikuhiziBiashara ya 500K inakufanya ule bata(starehe) yenye thamani gani?? Unajua watu mnayachukulia maisha simple sana, unless uwe na biashara ya genge la nyanya.
10M sio pesa ndogo, ila inapoingia kwenye biashara inaweza kuwa ndogo au isiwe kutokana na ana ya biashara.
Kwa biashara ya Hardware, Pharmacy, Spareparts za magari 10M ni kitu gani??
Na siku zote mtu anaidescribe fedha kutokana na mazingira yanayomzunguka, kwako nyingi kwa mwingine ni hela ya vacation.