Biashara imenishinda, nimerudisha fremu ya watu

Biashara imenishinda, nimerudisha fremu ya watu

Mimi nilianza na laki 7 bidhaa za nyumbn na miamala 2.5...jamaa mmoja swahiba wangu akaniambia nijiunge na biashara ya forever..nikatoa laki 7...hela angu ikazama....

Mtaji wa miamala nilionao Sasa Ni m1 na kamisheni huwa napata above laki2 per month...

10m ni mtaji mkubwa Sana ...inategemea unafanyia wap na biashara gani..
Watu sijui tuwaambie nini, ukipata sehem konk miamala ni bonge la business na uzuri siku hizi matapeli wamemaliza mbinu zao.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom