Biashara inaingiza 10000 kwa siku..nahitaji mkopo

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Habari wakuu..
Nina biashara inayonipatia 10000 kila siku..je nitaweza vp kupata mkopo kutoka benk au taasisi nyingine yeyote ya kifedha kwa kutumia biashara hii..

Nb
Ni biashara ya frame(static)

Bado haijasajiriwa.yaani haina leseni .

Nahitaji mkopo atleast milioni 2.

Lengo la mkopo ni kupanua biashara

Natanguliza shukrani wakuu
 
bila usajiri ni vigumu sana kupata mkopo benki, hapo nakushauri utafute micro finance institutions zinatoamikopo kwenye vikundi ili upate mkopo bila usajiri, lakin hata hivyo milion mbili ni kubwq sana kutolewa kwenye micro institut kama hizo ina bidi uwe na aseet za kueleweka
 
Je nikisajili nitaweza pata mili 2..na gharama za usajili zinaweza kuwaje???...mikopo ya vikundi nitapata pesa ndogo halafu mmoja akizingua wengine wanabeba mzigo.
 
kwa ufahamu wangu hiyo hela ni ndefu sana ukilinganisha na kipato chako labda aina ya biashara inaweza kuchangia kupata huo mkopo, ila kuna jamaa fulani mwaka juzi alikopa hela kama hiyo benki ya posta alikuwa kiduka chenye bidhaa za kama zaidi ya laki kama 6 alisajiri biashara yake akapata mkopo akanunua bodaboda ambayo kwa thamani yake ni sawa na kiwango chako cha pesa unachotaka, sasa cjui kwa sasa ktika awamu hii ambayo taasisi nyingi zinaonekana kukaza uzi kuhusu mashart, hebu tembelea benki ya posta kitengo cha mikop waulize
 
Nashukuru
 
Je nikisajili nitaweza pata mili 2..na gharama za usajili zinaweza kuwaje???...mikopo ya vikundi nitapata pesa ndogo halafu mmoja akizingua wengine wanabeba mzigo.
sajili biashara yako kwa gharama ya 20,000/= brela
 
kama nina boda boda moja unasajili kama kampuni ya usafirishaji au maana kwenye mabenki hawakupi mkopo kama una pikpik moja ni kuanzia mbili....
 
Hakuna gharama nyingine zaidi ya hapo,,ninaisajili kama aina gani ya biashara??
Gharama nyingine ni ufuatiliaji, Brela, TRA, na kulipia leseni yako ya biashara, huu ni usajili wa sole proprietorship, kama unataka kuisajili kama Limited liability company kuna ka procedure ka kufuata na pesa nyingi zaidi za kulipia. kuhusu kufuatilia pia unaweza kuajiri mtu nje ya gharama zako unamlipa hata 50,000/= unaletewa biashara yako mezani, actually ninaweza kukusaidia hilo nikakupatia kijana
 
Nashukuru sana
 
Nn faida ya sole prietorship over limited liability company?
 
Mkopo wa nini....kama kununua mali ghafi fanya mpango uipate kwa mali kauli na upunguze deni kila siku au kila week.Hii haina riba na wengi tunafanya hivyo.
 
Nn faida ya sole prietorship over limited liability company?
owner unakuwa ni wewe mwenyewe, faida yote yako, uharaka na urahisi wa kusajili, unafuu katika kodi ila hasara yake kuu upo liable kwa chochote kitakachoikuta kama ni madeni utafilisiwa wewe yani hamna tofauti kati yako na biashara yako, wewe ni biashara yako biashara yako ni wewe tofauti na limited liability kampuni ni legal person, inakopa, inadaiwa, inashitakiwa, inashitaki na kufa na kuzikwa pia
 
Asante
 
Back
Top Bottom