Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Kuna mtu kawekeza 20m kwenye biashara yeye anapata 2m per month
 
Kaka ushakua motivational speaker
Boss bond za BOT zipo clear na kila kitu kiko wazi, ingia site yao or through registered brokers, 15-16% ni pesa nzuri sana, lile ni chimbo la wahindi, mabilionea wa bongo na mashirika makubwa yanayojielewa
 
#Acha uongo ,kama ni kweli si ungeweka hata UTT au fixed deposit, #Fix tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…