Biashara inauzwa m35

Biashara inauzwa m35

Mkuu, nashukuru kwa interest na maswali yako. Itakuwa vizuri kama upo serious tuwasiliane uje kwenye biashara ukagueKila kitu na upate maelezo yote. Kwa kweli hiyo m35 nimekisiakwa kujiuliza hii biashara inayo niingizia kipato cha m5 kwa mwezinikiwa nimeweka float ya m12 inafaa niiuze bei gani? basi kama utanipasababu za kutosha nitapunguza bei. Asante

Mbona hueleweki? Unatakiwa utaje hiyo biashara yako ina asset gani zinazofanya iwe inauzwa 35m? Unang'ang'ania aje akaione kama mwenyewe umekosa cha kumension kwenye office yako mgeni atakuwa je?
 
Ni operation nzuri ila inachosha...it needs full time supervision. C unajua cc watz ni wavivu:lock1:

Hapo kwenye red wewe nani?, usijumuishe watu kabisa, kama wewe mvivu ni wewe mwenyewe!!!!
 
Mkuu sijaelewa kitu kimoja. Kama mtu akinunua hiyo biashara yako, na hiyo float ya M12 ni inclusive au itampasa aanze na sifuri kabisa?
 
Hizo faida si zinaingizwa direct kwenye akaunti yako mkuu? Halafu nilikuwa nawaza kwa nini safari ya mwezi mmoja tu upige chini investment yako moja kwa moja?
 
Mkuu hiyo m12 hata sasa hivi nimeshaitoa kwenye mzunguko. Mnunuzi ataanza na hela yake.
 
Hizo faida si zinaingizwa direct kwenye akaunti yako mkuu? Halafu nilikuwa nawaza kwa nini safari ya mwezi mmoja tu upige chini investment yako moja kwa moja?
Faida ya mpesa zinaingizwa kwenye simu ya kazi ya head office. Tigo na airtel kwenye kila simu iliyo fanya kazi. Safari yetu sio ya mda mrefu ila ni ya mara kwa mara, hatutaweza ku manage .asante
 
Unaweza kutaja mikoa yaliko maduka? Ulichagua vipi hizo locations?

Nafikiri hiyo bei iko juu mno hata kama kuna goodwill maana hapo hakuna asset na risk ni kubwa. Akifungua mtu next door a similar business inakula kwako na si unajua bongo kwa kuiga tena?!

Pia kwa mtu asiye kwenye hiyo line of service ataumizwa kipindi cha kujifunza... ununue biashara Mil 35 halafu ulipe salaries Mil 1 halafu usubiri Mil 5 kwa miezi 7 ndio hela ya kununulia irudi? While the ROI is not bad, the lack of assest and potential risk for failure inaniumiza kichwa.

Please corect me kama nimekuwa overly pessimistic.
 
Maduka yapo Tanga, Kilimanjaro na Dsm, Niseme mikoa hii huduma za mpesa zilikubalikamapema zaidi na demand ikawepo.

Kwamba mtu asiye kwenye hiyo line of service ataumizwakipindi cha kujifunza ni kweli. Ndio sababu tunakubali slow hand over ili mtuaweze kuielewa kazi.
Kuusu slow returns sidhani. Unakuwa muoga tu. Naombaunitajia biashara ambayo ROI inapatikana ndani ya miezi saba. Na hapa tunaassume no further investment after purchase ili kuongeza mapato.

Wasi wasi wa competition kwenye mpesa ndio haupo au ni mdogokabisa. Watu wanao hitaji huduma ya mpesa ni wengi sana kulinganisha na watoa huduma. All thetime wimbo kwenye maduka mengi ni hamna flot, hamna cash na watu wengi wanarudivodashops na banks kwa transactions za hela. Unfortunately watu wengi wenye mitajimidogo ndio wanataka wafanye hizi biashara. Kuna wachache ambao wapo serious nawatafaulu sana.

All in all money transfer business is a growing business fora long time. Natumaini nimekujibu. Asante.
 
Back
Top Bottom