Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
Nitakutafuta tufanye maongezi kwa kina mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nashukuru kwa interest na maswali yako. Itakuwa vizuri kama upo serious tuwasiliane uje kwenye biashara ukagueKila kitu na upate maelezo yote. Kwa kweli hiyo m35 nimekisiakwa kujiuliza hii biashara inayo niingizia kipato cha m5 kwa mwezinikiwa nimeweka float ya m12 inafaa niiuze bei gani? basi kama utanipasababu za kutosha nitapunguza bei. Asante
Ni operation nzuri ila inachosha...it needs full time supervision. C unajua cc watz ni wavivu:lock1:
Faida ya mpesa zinaingizwa kwenye simu ya kazi ya head office. Tigo na airtel kwenye kila simu iliyo fanya kazi. Safari yetu sio ya mda mrefu ila ni ya mara kwa mara, hatutaweza ku manage .asanteHizo faida si zinaingizwa direct kwenye akaunti yako mkuu? Halafu nilikuwa nawaza kwa nini safari ya mwezi mmoja tu upige chini investment yako moja kwa moja?