Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Muhudumu nipo hapa😜😜 Sasa ole wako unisahauMkuu nafikiri ni mkanganyiko tu wa mwandiko lakini lengo ni moja tu.
Asante kwa kunistua lkni.
🤣🤣🤣eti kumla mpika chakula😁😁haya bhana.
Asante sana kwa ushauri mkuu uzidi kubarikiwa..
Nyodo nitaziacha nyumbani 🤪
Shukrani mno Wang Shu