Biashara ipi inatoa faida ya haraka zaidi kati ya Genge duka na biashara ya chakula?

😂😂😂😂 Kwamba Mimi ni kivutio au siyo..😂😂 chakorii chizi sana
Tena kivutio adimu sana🤪🤪ila tutapiga hela ujue...ngoja mipango niiweke sawa

😂😂yeah chizi maarifa lakini🤣🤣
 
itabidi nimkutanishe na mwamba wa ❤ wangu(mwanaume mwenzie)wakubaliane.

Mimi ndie mwamuzi.nikiwa wa aina hiyo nitatafunwa na wangapi mkuu.

Niko mtwara mkuu
😋😋😋Kumbe ipo siku nitakula mapishi yako mkuu nitakuungisha, Mtwara ndio nilipokulia na kuzaliwa nimetoka miaka 3 iliyopita nipo nyanda za juu kusini uku mwishoni mwa mwaka huu narudi kusalimia uko nitakutafuta Chakorii
 
😋😋😋kumbe ipo siku nitakula mapishi yako mkuu nitakuungisha, Mtwara ndio nilipokulia na kuzaliwa nimetoka miaka 3 iliyopita nipo nyanda za juu kusini uku mwishoni mwa mwaka huu narudi kusalimia uko nitakutafuta Chakorii
Sawa mkuu karibu sana
 
Nasimamia bango hapo kwenye kumla mpika chakula na nyodo ziachwe nyumbani..😂
 
Nasimamia bango hapo kwenye kumla mpika chakula na nyodo ziachwe nyumbani..😂
Jehovah kuna mtu huku anatafuta ngumi za jumatatu 🙆‍♀️🙆‍♀️
Blaza usicheze na mimi kwenye kuzungumza na wateja...najua kutumia ulimi ipasavyo joh 😎😎
 
Huwa nasikia Genge lina faida sana, upate tu sehemu nzuri na ukae mwenyewe na siyo kumuweka mtu ambaye siyo mwaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…