Biashara ipi naweza kufanya kwa mtaji Tsh 800,000/=?

Biashara ipi naweza kufanya kwa mtaji Tsh 800,000/=?

Kichochoro

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,167
Samahani mkuu ili ushauriwe vizuri naomba uweke hizi taarifa zitasaidia watu kukushauri.

[emoji117]Jinsia
[emoji117]Umri
[emoji117]Eneo uliopo
[emoji117]Taaluma au ujuzi ulio nao

Nb;wengine wataongezea
 
Samahani mkuu ili ushauriwe vizuri naomba uweke hizi taarifa zitasaidia watu kukushauri.

[emoji117]Jinsia
[emoji117]Umri
[emoji117]Eneo uliopo
[emoji117]Taaluma au ujuzi ulio nao

Nb;wengine wataongezea
Umri 18+ Sina ujuzi wowote mkuu
 
Swali jepesi ila gumu sana. Unataka kufanya biashara ya aina gani? ya kuchafuka au ya kuwa smart?

Kama ni sharobaro fungua Mpesa na Tigopesa.

Kama sio sharobaro fungua banda la chipsi sehemu nzuri. Utapiga hela hadi ushangae.
 
Back
Top Bottom