Kichochoro JF-Expert Member Joined Jul 18, 2017 Posts 1,135 Reaction score 1,167 Apr 7, 2021 #1 Habari wanajamvi naomba ushauri, nina pesa kidogo kiasi cha laki nane naomba ushauri kwa wazoefu na biashara. Ni biashara gani ninaweza kufanya na ikaniletea faida ijapo pesa ya kula. Naombeni ushauri kwa wazoefu wa biashara nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Zaidi soma: Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?
Habari wanajamvi naomba ushauri, nina pesa kidogo kiasi cha laki nane naomba ushauri kwa wazoefu na biashara. Ni biashara gani ninaweza kufanya na ikaniletea faida ijapo pesa ya kula. Naombeni ushauri kwa wazoefu wa biashara nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Zaidi soma: Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 7,683 Reaction score 15,128 Apr 7, 2021 #2 Samahani mkuu ili ushauriwe vizuri naomba uweke hizi taarifa zitasaidia watu kukushauri. [emoji117]Jinsia [emoji117]Umri [emoji117]Eneo uliopo [emoji117]Taaluma au ujuzi ulio nao Nb;wengine wataongezea
Samahani mkuu ili ushauriwe vizuri naomba uweke hizi taarifa zitasaidia watu kukushauri. [emoji117]Jinsia [emoji117]Umri [emoji117]Eneo uliopo [emoji117]Taaluma au ujuzi ulio nao Nb;wengine wataongezea
Kichochoro JF-Expert Member Joined Jul 18, 2017 Posts 1,135 Reaction score 1,167 Apr 7, 2021 Thread starter #3 feyzal said: Samahani mkuu ili ushauriwe vizuri naomba uweke hizi taarifa zitasaidia watu kukushauri. [emoji117]Jinsia [emoji117]Umri [emoji117]Eneo uliopo [emoji117]Taaluma au ujuzi ulio nao Nb;wengine wataongezea Click to expand... Umri 18+ Sina ujuzi wowote mkuu
feyzal said: Samahani mkuu ili ushauriwe vizuri naomba uweke hizi taarifa zitasaidia watu kukushauri. [emoji117]Jinsia [emoji117]Umri [emoji117]Eneo uliopo [emoji117]Taaluma au ujuzi ulio nao Nb;wengine wataongezea Click to expand... Umri 18+ Sina ujuzi wowote mkuu
SN.BARRY JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 4,038 Reaction score 8,929 Apr 7, 2021 #4 Swali jepesi ila gumu sana. Unataka kufanya biashara ya aina gani? ya kuchafuka au ya kuwa smart? Kama ni sharobaro fungua Mpesa na Tigopesa. Kama sio sharobaro fungua banda la chipsi sehemu nzuri. Utapiga hela hadi ushangae.
Swali jepesi ila gumu sana. Unataka kufanya biashara ya aina gani? ya kuchafuka au ya kuwa smart? Kama ni sharobaro fungua Mpesa na Tigopesa. Kama sio sharobaro fungua banda la chipsi sehemu nzuri. Utapiga hela hadi ushangae.
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,532 Reaction score 2,415 Apr 15, 2021 #5 Msukure wa bin said: Umri 18+ Sina ujuzi wowote mkuu Click to expand... Uko wapi? Unaweza kuendesha pikipiki?
Msukure wa bin said: Umri 18+ Sina ujuzi wowote mkuu Click to expand... Uko wapi? Unaweza kuendesha pikipiki?
theChinga Member Joined Aug 30, 2020 Posts 32 Reaction score 40 Apr 25, 2021 #6 Upo sehemu gani mkuu.