GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mkuu, Ngoja waje wataalamu wa biashara.Una Tsh 50,000,000/= unazotaka kutumia kama mtaji wa biashara lakini muda wako wa kuisimamia kwa karibu sana ni finyu. Labda unakuwa huru wiki moja tu kila mwezi, siku zingine zote za mwezi unakuwa busy na shughuli zingine.
Mtu kama huyo anaweza kuianzisha biashara gani?
Labda:
1. Mghahawa?
2. Hardware?
3. Duka la nguo?
4. Duka la vifaa vya umeme?
5. Duka la simu?
6. Kiwanda cha juisi?
7. Huduma za kifedha kama uwakala wa M-PESA, AIRTEL MONEY, HALOPESA, BANK?
8. Biashara gani hasa?
Utatumia mbinu gani ili kuweza kuisimamia kikamilifu hata ukiwa mbali?
Waafrica kila mwenye pesa anawaza kufanya biashara. Biashara ni Hobby, Biashara inahitaji spirt kubwa sana, Biashara inamuhitaji mwenye wazo awe intact kwenye eneo la biashara ili kuendeleleza ile wazo yake.Una Tsh 50,000,000/= unazotaka kutumia kama mtaji wa biashara lakini muda wako wa kuisimamia kwa karibu sana ni finyu. Labda unakuwa huru wiki moja tu kila mwezi, siku zingine zote za mwezi unakuwa busy na shughuli zingine.
Mtu kama huyo anaweza kuianzisha biashara gani?
Labda:
1. Mghahawa?
2. Hardware?
3. Duka la nguo?
4. Duka la vifaa vya umeme?
5. Duka la simu?
6. Kiwanda cha juisi?
7. Huduma za kifedha kama uwakala wa M-PESA, AIRTEL MONEY, HALOPESA, BANK?
8. Biashara gani hasa?
Utatumia mbinu gani ili kuweza kuisimamia kikamilifu hata ukiwa mbali?
Wapi huko ni huge business? muingizeni mwenzenu kwenye mfumo na baadse akianza kulilia chooni hamtakuwepoTransactions is huge business
Waafrica kila mwenye pesa anawaza kufanya biashara. Biashara ni Hobby, Biashara inahitaji spirt kubwa sana, Biashara inamuhitaji mwenye wazo awe intact kwenye eneo la biashara ili kuendeleleza idea yake.
Kama huwezi/huna muda wa kusimamia wazo lako nakushauri hizo pesa nunua hata bond za Serikali tu. la sivyo utazila pesa zote na utakuja lilia chooni kilio cha kujuta.
This is poor mentality .Wapi huko ni huge business? muingizeni mwenzenu kwenye mfumo na baadse akianza kulilia chooni hamtakuwepo
Mkuu, upo sahihi kabisa. Hata kilimo cha kupiga simu si kilimo. Wengi wamejuta.Waafrica kila mwenye pesa anawaza kufanya biashara. Biashara ni Hobby, Biashara inahitaji spirt kubwa sana, Biashara inamuhitaji mwenye wazo awe intact kwenye eneo la biashara ili kuendeleleza ile wazo yake.
Sasa watu wanajidanganya kwamba anaweza muweka Mke/mme/Baba/Mama/KAka/Dada/Mjomba/Shangazi/Shemeji/Baba mkwe/Mama mkwe wasimamie wazo, hii ni kujidanganya, hao hawajui lolote sio initiator wa wazo.
Ndioa maana wakina Mengi au wakina Bagharesa walianza kusiamamia wazo lao hadi walipo fikia levo za juu kabisa za kufanya deligate.
Sasa wewe day one ya Biashara yako inaanza na kukaimisha mtu, hio biashara haitafika kokote kule
Kama huwezi/huna muda wa kusimamia wazo lako nakushauri hizo pesa nunua hata bond za Serikali tu, la sivyo utazika pesa zote na utakuja lilia chooni kilio cha kujuta.Biashara za kupiga simu sio biashara.
Mkuu, mleta hoja anazungumzia mtaji wa shs 50,000,000/-. Mambo ya majumba ni pesa ndefu.Nyumba za kupangisha, au lodge.
Itategemeana uko location ipi (au mkoa upi) 50m zinatosha kabisa kujenga Nyumba ya kupangisha.Mkuu, mleta hoja anazungumzia mtaji wa shs 50,000,000/-. Mambo ya majumba ni pesa ndefu.