Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Huu ni ukweli mchungu sana ambao sisi waaafrika weusi wengi aidha hatuujui au tukiujua huwa hatuukubali mpaka ujaribu halafu yakukute...!Waafrica kila mwenye pesa anawaza kufanya biashara. Biashara ni Hobby, Biashara inahitaji spirt kubwa sana, Biashara inamuhitaji mwenye wazo awe intact kwenye eneo la biashara ili kuendeleleza ile wazo yake.
Sasa watu wanajidanganya kwamba anaweza muweka Mke/mme/Baba/Mama/KAka/Dada/Mjomba/Shangazi/Shemeji/Baba mkwe/Mama mkwe wasimamie wazo, hii ni kujidanganya, hao hawajui lolote sio initiator wa wazo.
Ndioa maana wakina Mengi au wakina Bagharesa walianza kusiamamia wazo lao hadi walipo fikia levo za juu kabisa za kufanya deligate.
Sasa wewe day one ya Biashara yako inaanza na kukaimisha mtu, hio biashara haitafika kokote kule
Kama huwezi/huna muda wa kusimamia wazo lako nakushauri hizo pesa nunua hata bond za Serikali tu, la sivyo utazika pesa zote na utakuja lilia chooni kilio cha kujuta.Biashara za kupiga simu sio biashara.
Sina cha kuongeza....mtoa mada, kaweke hela zako UTT au bora uwekeze kwenye real estate(nyumba za kupangisha)....ingawa watakwambia real estate hailipi, ukweli inalipa bali kwa rate of return ndogo, uzuri wake ni kwamba pesa yako inakuwa haijapotea, ipo kwenye mjengo unaokupa kidogo kidogo kwa mwezi.
Nje ya humo utalia tu.....been there, done that!