.... biashara ya kuingia shambani na kulima hailipi hata kidogo.. kama anataka awe anakusanya mazao kijijini na kuyahifadhi mpaka soko likiwa zuri na kwenda kuuza mjini....hatojutiaMatrekta yapo mkuu ila bado hayatoshelezi mahitaji demand ni kubwa mno kipindi cha msimu ndio maana nasema mpaka msimu unaisha uhakika wa kulaza kati ya 18-22m kwa trekta mpya
Usimdanganye mwenzio, million 40 ni ndogo mno kufunga mzgo wa spare za pikipiki China au kuuza jumla.
Tunaomba reference na ushahidi huku ukificha identites za wanaofanya ili tukubali, naona wazo zuri japo ni la muda huduma zikija inabidi uhameUngeomba ushahidi au reference kwa wanaofanya ungepewa kuliko kufanya general conclusion
Kama hana muda namshauri asifungue biashara yeyote. Kama atafungua naomba baada ya mwaka mmoja aje arepply kwenye comment yangu hii akielezea mafanikio aliyoyapataNashukuru mkuu kwa mawazo lakini kama nilivyoainisha tatizo lake kubwa ni muda wa kusimamia mtaji anao ila hana nafasi sidhani kama ataweza kwenda china mara kwa mara. Ntampa idea ya kukucheki, muyajenge.
Rahisi tu....mkuu hana muda biashara zijui za kufunga mizigo nani kaenda dubai hawezi.
CARWASH
Ndio biashara pekee inayomfaa, kwanini nasema hivyo hii ni biashara isiyo hitaji mazagazaga mengi inahitaji kusimama tu then hata yeye siku akiacha kazi anaweza kuja nakuisimamia....Carwash nayozungumzia hapa ya mtaji kama 20M...30M apitie kutoka Buguruni kwenda ilala kuna Carwash moja pale aone mfano hatojuta...jamaa ana mtaji mzuri alafu hana muda investment kama hizi ndio zina mfaaa.
Aweke mzigo ajenge project nasimamia kilakitu hapo....rahisi ku-manage.
Daah kweli maisha tunatofautiana yaani kuna mtu ana 40m ila hana business idea mm sina hata 100 ila nina idea za biashara kama laki hivi kweli nineamini masikini ndio tunaongoza kwa idea za biasharaa
Ww tajiri wangu nakubali😊Kushare na mimi pia hutaki!!
Mkuu una idea na hii namba mojaAchukue baadhi ya hizi ....
1.Aje Dodoma afungue kiwanda cha kufyatua na kuuza tofali,hii biashara inalipa sana watu wanajenga balaa kwa Dodoma,hapa anaweza kuweka na ki min shop cha hard ware.location zipo nyingi sana za kufanya hii biashara.
2.Aje Dodoma afungue kiwanda kdg cha kusaga na kupaki unga wa mahindi,asee hapa pesa ataikimbia mahitaji ni makubwa sana,waliopo wanaofanya hii biashara hawakidhi mahitaji ya wateja kwamba mda mwingi unga haupo mitaani.location zipo za kutosha nawez kwemwelekeza bure kabisa.
3.Anunue tractor la kilimo alipeleke Manyara,hapa pesa ni nyingi sana na ya uhakika.location za kupeleka tractor kwa Manyara zipo nyingi sana na pesa zipo nyingi sana.
Mkuu hii imekaajeeDM nikupe fursa ya kufungua kituo cha afya ambacho kitakuwa kinakuingizia million 20 na zaidi kwa mwezi
Mkuu iyo hali hutokea kwa kila Mtu kipindi huna pesa yaani unakuwaga na mawazo mengi kwa sababu your nothing to fear kila biashara unayoona unatamani kufanya, Sasa pata pesa kila biashara unayoona unafikiria what if nikiweka pesa alafu zikapotea yaani hapa ndo mtihani mkubwa, Kila biashara inalipa cha msingi uwe tayari kujifunza na kupata experience ya kutosha kwenye biashara husika..shida ya shule ya biashara unajifunza huku unapoteza pesa, muda, watu wa karibu..Ni kama tu chuo au shule unapata Sapp, unarudia tena na tena mpaka ufaulu ukishindwa una disco, na kwenye business it's same wale wavumilivu na wasiokata tamaa ndo wanatoboa.Mtoa mada anaogopa kusema ni yeye ana hofu watu wasije mkaba maana ni hatari m40 sio mchezo kwa sisi makapuku,yaan nikiwa nayo hyo umasikini ndo bye bye,ukiwa huna hela unakuwa na idea nzuri za biashara ila ukishakuwa na hela idea zinapotea,ndomana nina utaratibu wa kuandika nilifikirialo ili nikija kupata mpunga iwe rahsi kutusua
Mimi sio tajiri bana ,Shea na mimi hayo mawazo.Ww tajiri wangu nakubali😊
Na wapigaji wenyewe ndo tele humuhumu JFKama ana plot mahali ajenge vyumba kadhaa classic ale kodi au kama sio hela ya mkopo aache kazi akomae na biashara. Ila kumpa mtu hela eti ni partner ataumia soon.
Unajua Sababu ni nini?Mtoa mada anaogopa kusema ni yeye ana hofu watu wasije mkaba maana ni hatari m40 sio mchezo kwa sisi makapuku,yaan nikiwa nayo hyo umasikini ndo bye bye,ukiwa huna hela unakuwa na idea nzuri za biashara ila ukishakuwa na hela idea zinapotea,ndomana nina utaratibu wa kuandika nilifikirialo ili nikija kupata mpunga iwe rahsi kutusua
Daah kweli maisha tunatofautiana yaani kuna mtu ana 40m ila hana business idea mm sina hata 100 ila nina idea za biashara kama laki hivi kweli nineamini masikini ndio tunaongoza kwa idea za biasharaa