MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
Soma Post namba 20........!!Mbona site haiko hewan na wala haipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma Post namba 20........!!Mbona site haiko hewan na wala haipo
tunadukuliwaMkuu Maisha ya Mtandaoni yana siri Kubwa sana........Usiwe unapenda kuingia ingia sana hasa hii Mitandao inayokutaka uweke Password yako au kuruhusu (Allow) jambo ambalo hukulitaka........!!!!!
If you have the Keys I have too, it's matter of Time..........!!!tunadukuliwa
Hahahahaaaha et alivyomaliza form four... Et mzungu kaja bongo hakua hana pakufikia bac akalala kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiwa mwongo kuwa na kumbukumbu, jamaa anakimbiza maisha bwana!
Nafasi za kujitoleaHumu ndani tumekuwa ni zaidi ya ndugu kutokana na wote kuwa na tatizo moja la kukosa ajira huku tukilalamikia kukosa mitaji lakini je unatambua kuwa unaweza usiwe na mtaji lakini ukaweza kujijengea chanell na kipato kikubwa na ukasahau kabisa kuajiriwa kama nilivyofanya mimi?
Mwaka 2012, nikiwa zangu home baada ya matokeo ya form 4,kutoka nikakutana na mzungu mmoja jina lake anaitwa Gennaro Barricelli, huwa bwana alikuwa ametokea Amsterdam ila katika maongezi nikashangaa akinambia kuwa hana nyumba wala sehemu ya kulala, basi nikajitolea nikampokea home nikawa nalala nae asubuhi tunaenda kutembea nikimuonesha maeneo mbali mbali ya jiji
katika maongezi yangu nikawa na lalamika sana kuhusu ajira huku nikiilalamikia malalamiko serikali.
Ndipo jamaa aliponielekeza fursa ambayo mpaka leo hii imenisaidia mengi na imenifanya nifahamiane na watu wengi sana duniani ishu yenyewe ni kupokea wageni mbali mbali kutoka nchi tofauti duniani (watalii), kwani wengi huwa hawajawahi kufika Tanzania hivyo hutafuta mwenyeji wa hapa Tanzania kwa ajili ya kuwatembeza sehemu mbali mbali pamoja na kuwapeleka kwenye vivutio mbali mbali kupitia site yao.
Basi akanielekeza nikajiunga na site hiyo, haikuwa ngumu kujiunga na ilikuwa ni rahisi sana. Basi nika seaech watalii ambao wanahitaji watu ambao wenyeji kwa ajili ya kuwatembeza kwa siku wakaazo kuwa Dar nikawapata
mara ya kwanza niliwapata 3, ambao walifikia gest ikawa asubuhi nawafata nawazungusha maeneo mbali mbali kama Zanzibar, Kilimanjaro, Tanga,
Bagamoyo na Dodoma kwa Tanzania gharama za safari pamoja na chakula walikuwa wanazilipa wao kama wao na siku wakiondoka nilikuwa naachia visenti kidogo mpka dola 1000, miatano.
Wale ambao nilikuwa nikiwapokea wakawa wanaenda kuelezea na wenzao na kunifanya nizidi kufahamiana na wengine zaidi, basi hali ikaendelea kuwa hivyo kiasi cha kupata wageni mpka 15kwa mwezi, wengine walikuwa wana hadhi mbali mbali kama wanafunzi, madaktari nk.
Nenda znz utajioneaMzungu (Mtalii) atoke huko kote hadi Tz pasipo kujua atafikia wapi???? Kwahiyo akalala ghetto kwako braza.... Chai na maharage kama kitafunwa sio poa kabisa chapati ingependeza zaidi.
Mkuu naomba msaada. Baada ya kudownload application ya couchsurfing ....hatua gani inafuata?
acha ubinafsi, kwann usiseme aweke hapa kila mtu aone?NIPM HUO MTANDAO MKUU
Acha porojo, kama hili ni jambo unaloona unahitaji kuchangia na watu basi ungeweka vielelezo vyote wazi, otherwise ungeweza kukaa kimywa tuHumu ndani tumekuwa ni zaidi ya ndugu kutokana na wote kuwa na tatizo moja la kukosa ajira huku tukilalamikia kukosa mitaji lakini je unatambua kuwa unaweza usiwe na mtaji lakini ukaweza kujijengea chanell na kipato kikubwa na ukasahau kabisa kuajiriwa kama nilivyofanya mimi?