Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

chaji

Member
Joined
Sep 15, 2018
Posts
13
Reaction score
10
Wakuu heshima kwenu ndg zangu, wakubwa shikamooni lika langu habari zenu.
Baada ya salamu naomba niwape pole kwa majukumu mbali mbali na hongera kwa utekerezaji wa majukumu hayo.

Kilichonileta kwenu ndg zangu, naomba mchanganuo wenu wenye wazo au mawazo ya biashara ambayo nikiiifanya itanitoa na kufika mbali ,,,,,,,nina mtaji wa milioni moja ninaishi Dar es salaam ,,je nifulsa ipi ya biashara naweza kufanya kwa mtaji huu wa million moja??????

Asanteni.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uza bangi ni biashara ya all weather, unaweza kuuza skunk au ganja ya kawaida, skunk utanunua gram moja kwa 1500-2500 na utauza gram moja kwa 5000 hapa bara na ukipeleka znz kuuza kwa wageni gram moja ni $5-10, na endapo utaamua kuuza hizi ganja zenu za moro puli moja utanunua 2000-3000 kutegemea na ubora na ukubwa, ukikata kila puli utatoa kuanzia kete 20 na kuendelea, kete moja kwa sasa inauzwa 500 na ukienda kuuzia club ni 1000, hii ni aina ya biashara i can guarantee utauza hasa kwenye majiji makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes man kayaman... pia anaweza kuyatumia mapushabu kutengenezea keki au kashata na akauza bei ya kitalii kabisa.
Mkuu uza bangi ni biashara ya all weather, unaweza kuuza skunk au ganja ya kawaida, skunk utanunua gram moja kwa 1500-2500 na utauza gram moja kwa 5000 hapa bara na ukipeleka znz kuuza kwa wageni gram moja ni $5-10, na endapo utaamua kuuza hizi ganja zenu za moro puli moja utanunua 2000-3000 kutegemea na ubora na ukubwa, ukikata kila puli utatoa kuanzia kete 20 na kuendelea, kete moja kwa sasa inauzwa 500 na ukienda kuuzia club ni 1000, hii ni aina ya biashara i can guarantee utauza hasa kwenye majiji makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo sio biashara watu wawanaofany ni wazoefu na waliodata ukifanya mtu mwingine hao wateja wako wanakuchomesha ma polisi tena wiki tu haumalizi utakuwa kituoni
 
Wakuu heshima kwenu ndg zangu, wakubwa shikamooni lika langu habari zenu.
Baada ya salamu naomba niwape pole kwa majukumu mbali mbali na hongera kwa utekerezaji wa majukumu hayo.

Kilichonileta kwenu ndg zangu, naomba mchanganuo wenu wenye wazo au mawazo ya biashara ambayo nikiiifanya itanitoa na kufika mbali ,,,,,,,nina mtaji wa milioni moja ninaishi Dar es salaam ,,je nifulsa ipi ya biashara naweza kufanya kwa mtaji huu wa million moja??????

Asanteni.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtaji huo mdogo nafikiri ni umachinga tu
 
Mtoa mada!anza na ww kueleza ni kitu gan unapenda kufanya ..hii ianze na ww kupenda kitu fulan..angalia nafsi yako inapendelea kitu gan..usishauriwe nn cha kufanya..la sivyo hyo hela itaisha bila kutegemea..!
njoo na wazo wadau wakusaidie !
 
Naeshimu mawazo yenu naandika hpa
1552123448114.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu heshima kwenu ndg zangu, wakubwa shikamooni lika langu habari zenu.
Baada ya salamu naomba niwape pole kwa majukumu mbali mbali na hongera kwa utekerezaji wa majukumu hayo.

Kilichonileta kwenu ndg zangu, naomba mchanganuo wenu wenye wazo au mawazo ya biashara ambayo nikiiifanya itanitoa na kufika mbali ,,,,,,,nina mtaji wa milioni moja ninaishi Dar es salaam ,,je nifulsa ipi ya biashara naweza kufanya kwa mtaji huu wa million moja??????

Asanteni.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua mgahawa wa chapati,maandazi,maharage, chai, mitaa ya tandale biashara hii ipo sana na watu wanakula ile mbaya jungu la maharage kilo 50 linaisha kwa siku fikiria maandazi na chapati hapo zitaenda kilo ngapi?? Kwa siky 1 unaweza kupata faida 50000 na kuendelea... pitia tandale ujionee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uza bangi ni biashara ya all weather, unaweza kuuza skunk au ganja ya kawaida, skunk utanunua gram moja kwa 1500-2500 na utauza gram moja kwa 5000 hapa bara na ukipeleka znz kuuza kwa wageni gram moja ni $5-10, na endapo utaamua kuuza hizi ganja zenu za moro puli moja utanunua 2000-3000 kutegemea na ubora na ukubwa, ukikata kila puli utatoa kuanzia kete 20 na kuendelea, kete moja kwa sasa inauzwa 500 na ukienda kuuzia club ni 1000, hii ni aina ya biashara i can guarantee utauza hasa kwenye majiji makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara nzuri hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda mikoa inayolima korosho mfano Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani. Msimu wa kilimo nenda kawakopeshe wakulima hela halafu msimu wa korosho ukifika unachukua korosho zako. Ukifika kule watakuita jina la Kangomba, hakika hutajutia. Utakua tajiri mara moja.
 
Wazee wa kula maua, mambo yakigoma unashindwa kudai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu heshima kwenu ndg zangu, wakubwa shikamooni lika langu habari zenu.
Baada ya salamu naomba niwape pole kwa majukumu mbali mbali na hongera kwa utekerezaji wa majukumu hayo.

Kilichonileta kwenu ndg zangu, naomba mchanganuo wenu wenye wazo au mawazo ya biashara ambayo nikiiifanya itanitoa na kufika mbali ,,,,,,,nina mtaji wa milioni moja ninaishi Dar es salaam ,,je nifulsa ipi ya biashara naweza kufanya kwa mtaji huu wa million moja??????

Asanteni.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Duka genge...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda mikoa inayolima korosho mfano Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani. Msimu wa kilimo nenda kawakopeshe wakulima hela halafu msimu wa korosho ukifika unachukua korosho zako. Ukifika kule watakuita jina la Kangomba, hakika hutajutia. Utakua tajiri mara moja.
Watampora waseme kambagwa [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom