Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Recycling industry
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea uhalisia mtupu,, hilo ni suala la kwanza,, lakini kufanikisha lile kilichopo kwenye makaratasi kuja kwenye uhalisia ni changamoto nyingine ngumu zaidi,,Ili utengeneza faida ya angalau bilioni moja kwa margin ya 2-7%inabidi uwekeze angalau mtaji wa 1 trilion au uwe na cash flow ya 5 trilion.Kwa hali y uchumi wa Tanzania biashra mpaka ifikie kiwango hicho unahitaji angalau 3 years.
Unaweza anza kwa kufikiri hivyo kisha ndo uende hatua inayofuata
[emoji3][emoji3]Nahisi inawezekana kabisa yule jini kajibadilisha na kuwa mwenye muonekano tofauti (huyo mzee) ili usimgundue.
Mafuta ya Aina GANI Mkuu?Fanyeni biashara ya mafuta. Capital ni kubwa lakini return pia ni kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi watu mna nini lkn,!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi inawezekana kabisa yule jini kajibadilisha na kuwa mwenye muonekano tofauti (huyo mzee) ili usimgundue.
Ras wa Paroko ,Hizo ndio. Idea ,amalizie yeye mwenyewe na Wengine pia wamefaidika ,uliyeomba Idea JiongezeTatua moja kati ya hizi changamoto hapa ikiwa unahitaji biashara itakayodumu zaidi ya miaka 100. Suala la kuingiza 1B kwa mwaka itategemea na kiwango cha hela atakachowekeza. TIA
- NJAA
- UKOSEFU WA AJIRA
- MAGONJWA
- ELIMU
- UMEME/NISHATI
- UCHAFU
- USAFIRISHAJI
- MAKAZI
Iyo cocaine ataipitisha wapi pale Bogota kuna Eldurado Airport kiboko ya wauza unga, zama zimebadilika jombaa.Biashara ya kununua cocaine whole sale Columbia unauza retail bongo. 1bilioni kwa mwaka kirahisi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
NaUnGa mKoNo hOjA....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi watu mna nini lkn,!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia sio airport tu jomba. Zipo nyingine nyingi sana.Iyo cocaine ataipitisha wapi pale Bogota kuna Eldurado Airport kiboko ya wauza unga, zama zimebadilika jombaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Good morning dada...[emoji113][emoji3][emoji3]
Mkuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huu ufafanuz wako, kama ni mtindo wa ushonaji wa nguo basi unaiga kwa kuangalia umbo la nje bila kujua vipimo ni lazima utaharibu.Billioni moja kwa mwaka ni pesa ndogo sana, issue ni kuwa na mtaji wa kutosha kufanya investiment kubwa na kuwa tayari kwa lolote. Mimi kwa experience yangu ya biashara ya famasi anaweza akafanya hivi (Theoretically):
Aanzishe reputable pharmacy chain ambapo kila mkoa atakuwa na famasi babkubwa za rejareja angalau 3; achague mikoa 30 tu ya Tanzania, hivyo jumla atakuwa na famasi 90. Kisha awe na famasi za jumla angalau moja Dar es salaam, Moja Arusha, Moja Mwanza na Moja Mbeya.
Famasi standard za rejareja = Millioni 30 kila moja; Famasi 90 => Billioni 2.7 a.k.a 2,700,000,000/=
Famasi standard za jumla = Millioni 150 kila moja; Famasi 4 => Millioni 600
Miezi sita ya mwanzo mfanye marketing na sales ya nguvu + grace period ya kuvumilia "ngombe wenu waanze kutoa maziwa ya kutosha"; baada ya hapo the rest is history!
Kila famasi moja ya rejareja itakupa faida (net profit) ya angalau Tsh 2,000,000/= kwa mwezi.
Famasi 90 x 2,000,000/= => 180,000,000/= kwa mwezi;
=> 180,000,000/= x 12 = 2,160,000,000/= kwa mwaka.
Kila famasi moja ya jumla itakupa faida (net profit) ya angalau Tsh 10,000,000/= kwa mwezi
Famasi 4 x 10,000,000/= => 40,000,000/= kwa mwezi;
=> 40,000,000/= x 12 = 480,000,000/= kwa mwaka.
Faida ya famasi za jumla + famasi za rejareja = 2,160,000,000/= + 480,000,000/=
= 2,640,000,000/= (Billioni Mbili na Millioni Mia Sita na Arobaini)
Ila ajiandae kwa kisukari, presha, kipandauso, kukosa usingizi, msongo wa mawazo, sonona na kadhalika.
NB:
- Huu sio ushauri wa kitaalam bali ni maoni ya kawaida, na ni nadharia tu kwa 100%; ukitaka kuwekeza ongea na wataalam wako wakushauri
- If you want to win big you gotta play big
Nawasilisha ........
[emoji137][emoji137]Good morning dada...[emoji113]
NB:
- Huu sio ushauri wa kitaalam bali ni maoni ya kawaida, na ni nadharia tu kwa 100%; ukitaka kuwekeza ongea na wataalam wako wakushauri
- If you want to win big you gotta play big
Nawasilisha ........