ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 Aug 24, 2025 #1 Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,552 Reaction score 13,002 Aug 24, 2025 #2 Kila leo mashuka yanachanwa
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Aug 24, 2025 #3 Sehemu zao kubwa za kupiga pesa ni lodge na guest house