Said S Yande
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 879
- 652
Tff walishindwa kuwakopesha wadau wao pesa kweliTheTanzanian FA is asking
@CAF_Online
to postponeBiashara United Mara’s #CAFCC game against Al Ahly Tripoli after the Tanzanians didn’t get traveling ticket to Libya. The game is scheduled for tonight but Biashara are still in Tanzania. #TotalEnergiesCAFCC
hadi aibuTff walishindwa kuwakopesha wadau wao pesa kweli
Tatizo viongozi kuanzia wa biashara had I wa tff hamnazo kweli,biashara haiwezi kupata emergency loan ya $30000 haingii akilini.Biashala walijihalibia wenyewe kwenye ile mechi na Simba mwanzoni Magori aliwasaidia kwenye mechi ile waliyoenda nje ila baada ya kuona ujinga wao kwenye mechi ya Simba naona na yeye kaamua kugoma Mana walionyesha ujinga wao Magori aliomba hela KWA matajili wenzie Ili timu ya mkoani kwake usafili yule mkuu wa mkoa akawaingiza chaka kwenye mechi Simba
TFF ni wapuuzi sana. Kuna watu pale hawafikirii sawa sawa.Tff walishindwa kuwakopesha wadau wao pesa kweli
Kama hili ni kweli Basi ligi haina maana hii, ko magoli alitaka biashara walegee wapigwe ko ile kukaza ikamuumaBiashala walijihalibia wenyewe kwenye ile mechi na Simba mwanzoni Magori aliwasaidia kwenye mechi ile waliyoenda nje ila baada ya kuona ujinga wao kwenye mechi ya Simba naona na yeye kaamua kugoma Mana walionyesha ujinga wao Magori aliomba hela KWA matajili wenzie Ili timu ya mkoani kwake usafili yule mkuu wa mkoa akawaingiza chaka kwenye mechi Simba
TFF wao ni kujitahidi watu flan wachukue kombeTff walishindwa kuwakopesha wadau wao pesa kweli
Watanzania acheni kulalamika hovyo Kama mipaka ya Guest house, jukumu la tff sio kutafutia mikopo timu.Tatizo viongozi kuanzia wa biashara had I wa tff hamnazo kweli,biashara haiwezi kupata emergency loan ya $30000 haingii akilini.
Issue ingeweza kuwa handled na TFF kwa sababu, kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, sio kwamba Biashara imekosa usafiri bali hakijapatikana kibali cha kutumia anga ya Sudan, nadhani na Libya or something like that!!Watanzania acheni kulalamika hovyo Kama mipaka ya Guest house, jukumu la tff sio kutafutia mikopo timu.
By the way hayo ni mashindano ya CAF kwanini msiseme CAF ndio iwatafutie hizo emergency loans kwasababu ndio mwenye mashindano.
Timu inajua ratiba Yake tangu miezi kadhaa nyuma leo wanakwama unazitupa lawama tff.
Huko mkoani wanamotoka si wangechangishana pesa mbona waliahidiwa pesa mechi ya ligi kuu vs Simba.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Tff will fight for Simba only...fuckenIssue ingeweza kuwa handled na TFF kwa sababu, kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, sio kwamba Biashara imekosa usafiri bali hakijapatikana kibali cha kutumia anga ya Sudan, nadhani na Libya or something like that!!
Utetezi waliotoa TFF ni kwamba wao walikuwa tayari kuwasaidia kuomba kibali cha kukatiza kwenye hizo anga lakini kwa bahati mbaya, nchi husika hazifanyi kazi Jmosi, na kwahiyo imeshindikana ombi lao la kukatiza kwenye anga zao kushughulikiwa!
The questions are:-
1. Nani ana wajibu wa kuomba vibali vya ndege kuruhusiwa kupita kwenye anga za nchi fulani...
2. Ilikuwajie vibali viombwe leo wakati safari ilifahamika tangu zamani.
3. Ina maana ATCL waliotaka kuwasafirisha Biashara hawakufahamu utaratibu wa kuomba vibali, au sio wajibu wao!!!
Ingawaje sifahamu majibu ya hayo maswali lakini TFF walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuhakikisha hayo hayatokei kwa sababu Biashara hawana uzoefu wa kukata mawimbi!!
Pale Biashara usishangae kukuta viongozi KARIBU wote ndo wameanza kupanda ndege mwaka huu walipoenda Djibouti... sasa ndo watafahamu taratibu za anga hawa!!
Watu wamepita bila kupingwa unategemea nini.TFF ni wapuuzi sana. Kuna watu pale hawafikirii sawa sawa.
Kweli si wangetoa hata ndege moja ikawapeleka,timu ikalipa ndeni taratibu baada ya hii kadhia kuisha.Watanzania bongo zetu Zina vidonda😲😲,soka letu haliji kupiga hatua,hata hizo Simba na yanga hazijikuwa na ushindani mkuu kwa Africa
Tff na wizara ya michezo zinaongozwa na watu vilaza na wenye mawazo ya kimaskini tena waso na uzalendo kwa Taifa letu
Biashara United inawakilisha Taifa,Taifa limeshindwa kuwasafirisha watu 30 kwenda Libya🤣🤣
Issue ingeweza kuwa handled na TFF kwa sababu, kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, sio kwamba Biashara imekosa usafiri bali hakijapatikana kibali cha kutumia anga ya Sudan, nadhani na Libya or something like that!!
Utetezi waliotoa TFF ni kwamba wao walikuwa tayari kuwasaidia kuomba kibali cha kukatiza kwenye hizo anga lakini kwa bahati mbaya, nchi husika hazifanyi kazi Jmosi, na kwahiyo imeshindikana ombi lao la kukatiza kwenye anga zao kushughulikiwa!
The questions are:-
1. Nani ana wajibu wa kuomba vibali vya ndege kuruhusiwa kupita kwenye anga za nchi fulani...
2. Ilikuwajie vibali viombwe leo wakati safari ilifahamika tangu zamani.
3. Ina maana ATCL waliotaka kuwasafirisha Biashara hawakufahamu utaratibu wa kuomba vibali, au sio wajibu wao!!!
Ingawaje sifahamu majibu ya hayo maswali lakini TFF walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuhakikisha hayo hayatokei kwa sababu Biashara hawana uzoefu wa kukata mawimbi!!
Pale Biashara usishangae kukuta viongozi KARIBU wote ndo wameanza kupanda ndege mwaka huu walipoenda Djibouti... sasa ndo watafahamu taratibu za anga hawa!
You don't know ho shit work in Tanzania pitia sababu za tff arufu urudi humu.Watanzania acheni kulalamika hovyo Kama mipaka ya Guest house, jukumu la tff sio kutafutia mikopo timu.