Biashara Kunani?

Biashara Kunani?

Said S Yande

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
879
Reaction score
652
The pre-match technical meeting for Al Ahly Tripoli v Biashara United Mara has been concluded. Biashara United, still nowhere to be found. Kick-off is 17:00 GMT. The
Flag of Libya
Libyans will progress to the next stage, if
Flag of Tanzania
Biashara don’t turn up for the game.

FCYnOmaWEAUw_c2.jpeg

Screenshot_20211023-211703.png
 
Biashala walijihalibia wenyewe kwenye ile mechi na Simba mwanzoni Magori aliwasaidia kwenye mechi ile waliyoenda nje ila baada ya kuona ujinga wao kwenye mechi ya Simba naona na yeye kaamua kugoma Mana walionyesha ujinga wao Magori aliomba hela KWA matajili wenzie Ili timu ya mkoani kwake usafili yule mkuu wa mkoa akawaingiza chaka kwenye mechi Simba
 
The
Flag of Tanzania
Tanzanian FA is asking
@CAF_Online
to postpone
Flag of Tanzania
Biashara United Mara’s #CAFCC game against
Flag of Libya
Al Ahly Tripoli after the Tanzanians didn’t get traveling ticket to Libya. The game is scheduled for tonight but Biashara are still in Tanzania.
Weary face
#TotalEnergiesCAFCC
 
Biashala walijihalibia wenyewe kwenye ile mechi na Simba mwanzoni Magori aliwasaidia kwenye mechi ile waliyoenda nje ila baada ya kuona ujinga wao kwenye mechi ya Simba naona na yeye kaamua kugoma Mana walionyesha ujinga wao Magori aliomba hela KWA matajili wenzie Ili timu ya mkoani kwake usafili yule mkuu wa mkoa akawaingiza chaka kwenye mechi Simba
Tatizo viongozi kuanzia wa biashara had I wa tff hamnazo kweli,biashara haiwezi kupata emergency loan ya $30000 haingii akilini.
 
Kama hili ni kweli Basi ligi haina maana hii, ko magoli alitaka biashara walegee wapigwe ko ile kukaza ikamuuma

Kweli soka la bongo ni nyoso
 
Tatizo viongozi kuanzia wa biashara had I wa tff hamnazo kweli,biashara haiwezi kupata emergency loan ya $30000 haingii akilini.
Watanzania acheni kulalamika hovyo Kama mipaka ya Guest house, jukumu la tff sio kutafutia mikopo timu.

By the way hayo ni mashindano ya CAF kwanini msiseme CAF ndio iwatafutie hizo emergency loans kwasababu ndio mwenye mashindano.

Timu inajua ratiba Yake tangu miezi kadhaa nyuma leo wanakwama unazitupa lawama tff.

Huko mkoani wanamotoka si wangechangishana pesa mbona waliahidiwa pesa mechi ya ligi kuu vs Simba.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Issue ingeweza kuwa handled na TFF kwa sababu, kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, sio kwamba Biashara imekosa usafiri bali hakijapatikana kibali cha kutumia anga ya Sudan, nadhani na Libya or something like that!!

Utetezi waliotoa TFF ni kwamba wao walikuwa tayari kuwasaidia kuomba kibali cha kukatiza kwenye hizo anga lakini kwa bahati mbaya, nchi husika hazifanyi kazi Jmosi, na kwahiyo imeshindikana ombi lao la kukatiza kwenye anga zao kushughulikiwa!

The questions are:-

1. Nani ana wajibu wa kuomba vibali vya ndege kuruhusiwa kupita kwenye anga za nchi fulani...

2. Ilikuwajie vibali viombwe leo wakati safari ilifahamika tangu zamani.

3. Ina maana ATCL waliotaka kuwasafirisha Biashara hawakufahamu utaratibu wa kuomba vibali, au sio wajibu wao!!!

Ingawaje sifahamu majibu ya hayo maswali lakini TFF walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuhakikisha hayo hayatokei kwa sababu Biashara hawana uzoefu wa kukata mawimbi!!

Pale Biashara usishangae kukuta viongozi KARIBU wote ndo wameanza kupanda ndege mwaka huu walipoenda Djibouti... sasa ndo watafahamu taratibu za anga hawa!!
 
Tff will fight for Simba only...fucken
 
Watanzania bongo zetu Zina vidonda😲😲,soka letu haliji kupiga hatua,hata hizo Simba na yanga hazijikuwa na ushindani mkuu kwa Africa
Tff na wizara ya michezo zinaongozwa na watu vilaza na wenye mawazo ya kimaskini tena waso na uzalendo kwa Taifa letu
Biashara United inawakilisha Taifa,Taifa limeshindwa kuwasafirisha watu 30 kwenda Libya🤣🤣
 
Kweli si wangetoa hata ndege moja ikawapeleka,timu ikalipa ndeni taratibu baada ya hii kadhia kuisha.
 
Issue ingeweza kuwa handled na TFF kwa sababu, kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, sio kwamba Biashara imekosa usafiri bali hakijapatikana kibali cha kutumia anga ya Sudan, nadhani na Libya or something like that!!

Utetezi waliotoa TFF ni kwamba wao walikuwa tayari kuwasaidia kuomba kibali cha kukatiza kwenye hizo anga lakini kwa bahati mbaya, nchi husika hazifanyi kazi Jmosi, na kwahiyo imeshindikana ombi lao la kukatiza kwenye anga zao kushughulikiwa!

The questions are:-

1. Nani ana wajibu wa kuomba vibali vya ndege kuruhusiwa kupita kwenye anga za nchi fulani...

2. Ilikuwajie vibali viombwe leo wakati safari ilifahamika tangu zamani.

3. Ina maana ATCL waliotaka kuwasafirisha Biashara hawakufahamu utaratibu wa kuomba vibali, au sio wajibu wao!!!

Ingawaje sifahamu majibu ya hayo maswali lakini TFF walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuhakikisha hayo hayatokei kwa sababu Biashara hawana uzoefu wa kukata mawimbi!!

Pale Biashara usishangae kukuta viongozi KARIBU wote ndo wameanza kupanda ndege mwaka huu walipoenda Djibouti... sasa ndo watafahamu taratibu za anga hawa!

Watanzania acheni kulalamika hovyo Kama mipaka ya Guest house, jukumu la tff sio kutafutia mikopo timu.

By the way hayo ni mashindano ya CAF kwanini msiseme CAF ndio iwatafutie hizo emergency loans kwasababu ndio mwenye mashindano.

Timu inajua ratiba Yake tangu miezi kadhaa nyuma leo wanakwama unazitupa lawama tff.

Huko mkoani wanamotoka si wangechangishana pesa mbona waliahidiwa pesa mechi ya ligi kuu vs Simba.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
You don't know ho shit work in Tanzania pitia sababu za tff arufu urudi humu.
 
Back
Top Bottom