Said S Yande
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 879
- 652
- Thread starter
-
- #21
Bro tuache usimba na uyanga viongozi wa biashara, tff na hao waomba vibali wamechemka vibaya sana.Si wana bodi ya wadhamini inayotoa million kumi na tano kila wakishinda mechi.
Hahahaha walijua maisha yanaishia mechi ya simba.
verry embarrassing
Jahazi Imezama Huko
Kwa hiyo Magori alitoa msaada ili mkija kucheza nao muwafunge kirahisi sio?Biashala walijihalibia wenyewe kwenye ile mechi na Simba mwanzoni Magori aliwasaidia kwenye mechi ile waliyoenda nje ila baada ya kuona ujinga wao kwenye mechi ya Simba naona na yeye kaamua kugoma Mana walionyesha ujinga wao Magori aliomba hela KWA matajili wenzie Ili timu ya mkoani kwake usafili yule mkuu wa mkoa akawaingiza chaka kwenye mechi Simba
TFF sidhani kama ni wa kulaumiwa maana haihusiki na kuzisafirisha club, lakin huenda hata suala hilo lilipelekwa TFF too late.Bro tuache usimba na uyanga viongozi wa biashara, tff na hao waomba vibali wamechemka vibaya sana.
Kuanzia uchaguzi mkuu hadi wa tff walipta bila kupingwa ndio maana wanafanana, hawezi jiuzulu labda ingekuwa ulaya.Waziri wa michezo ajiuzulu kabisa hii NI aibu kwa taifa.....na haya ndo madhara ya kupita bila kupingwa...
Hiyo haitoshi kukodi ndege, hotel na vitu vingineTatizo viongozi kuanzia wa biashara had I wa tff hamnazo kweli,biashara haiwezi kupata emergency loan ya $30000 haingii akilini.
Pale tff panashida ipo siku wote tutaiona hii shida,kumbuka biashara anawasiliana na cuf kupitia tff.TFF sidhani kama ni wa kulaumiwa maana haihusiki na kuzisafirisha club, lakin huenda hata suala hilo lilipelekwa TFF too late.
Wangekozi ndege za mwendazake mechi ikiisha wanageuza.
Nadhani hujaelewa haya ndio matatizo ya kukurupuka kumbuka Magori alijitolea tena alichangisha watu wa pembeni bila matangazo yoyote na ile ni KWA sababu timu ya mkoa wake ila sasa baada ya mechi ya Simba na Biashala kuonekana kuna mkono wa Yanga na jinsi wachezaji walivyokuwa wanacheza ndio sababu akiona akae pembeni hizi timu ndogo zinatakiwa zijitambue Rafiki ni yule ambaye hata kwenye shida anakusaidia sasa wale walioweke 10mil si wangechangisha matajili wa Pale MaraKwa hiyo Magori alitoa msaada ili mkija kucheza nao muwafunge kirahisi sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hayo maswali matatu uliyouliza ndio majukumu ya TFF hayo ?Issue ingeweza kuwa handled na TFF kwa sababu, kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, sio kwamba Biashara imekosa usafiri bali hakijapatikana kibali cha kutumia anga ya Sudan, nadhani na Libya or something like that!!
Utetezi waliotoa TFF ni kwamba wao walikuwa tayari kuwasaidia kuomba kibali cha kukatiza kwenye hizo anga lakini kwa bahati mbaya, nchi husika hazifanyi kazi Jmosi, na kwahiyo imeshindikana ombi lao la kukatiza kwenye anga zao kushughulikiwa!
The questions are:-
1. Nani ana wajibu wa kuomba vibali vya ndege kuruhusiwa kupita kwenye anga za nchi fulani...
2. Ilikuwajie vibali viombwe leo wakati safari ilifahamika tangu zamani.
3. Ina maana ATCL waliotaka kuwasafirisha Biashara hawakufahamu utaratibu wa kuomba vibali, au sio wajibu wao!!!
Ingawaje sifahamu majibu ya hayo maswali lakini TFF walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuhakikisha hayo hayatokei kwa sababu Biashara hawana uzoefu wa kukata mawimbi!!
Pale Biashara usishangae kukuta viongozi KARIBU wote ndo wameanza kupanda ndege mwaka huu walipoenda Djibouti... sasa ndo watafahamu taratibu za anga hawa!!
Ally Hapi kawaponza,watakula walikopeleka mboga.Biashala walijihalibia wenyewe kwenye ile mechi na Simba mwanzoni Magori aliwasaidia kwenye mechi ile waliyoenda nje ila baada ya kuona ujinga wao kwenye mechi ya Simba naona na yeye kaamua kugoma Mana walionyesha ujinga wao Magori aliomba hela KWA matajili wenzie Ili timu ya mkoani kwake usafili yule mkuu wa mkoa akawaingiza chaka kwenye mechi Simba
Biashara alikuwa hawakilishi tu mkoa wa Mara alikuwa nawakilisha nchi,karia tff yake walipaswa kuwasaidia mapema unakuja kusema tumekosa kibari kisa nchi husika hawafanya kazi jumamosi.Ally Hapi kawaponza,watakula walikopeleka mboga.
Yaani zaidi ya masikitiko,wana Mara tukutane ghofani tufarijiane kwa bia.Inasikitisha sana...
Arafu tuko uchumi wa kati.Watanzania tuone aibu kwa hili.
Kuna nchi ambazo zingekwama wala isingeshtua, Nchia kama Somalia, Djibout, Elitria n.k.
Na sidhani kama Nchi tunayojinadi na kushangilia kila tunapotajwa kwenye tuzo za utalii tunapaswa kuwa na fedheha kama hizi.
Hakuna maelezo yanayokidhi fedheha hii zaidi ya Viongozi wahusika kubeba lawama hizi na kuwajibika.
Ostaz malima na Dr Vincent Naano nadhani mambo yangekuwa bambam.Nataka kuamini labda kama Malima bado angelikuwepo Mara Biashara wangesafiri.