Biashara Kunani?

Biashara Kunani?

Issue ingeweza kuwa handled na TFF kwa sababu, kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, sio kwamba Biashara imekosa usafiri bali hakijapatikana kibali cha kutumia anga ya Sudan, nadhani na Libya or something like that!!

Utetezi waliotoa TFF ni kwamba wao walikuwa tayari kuwasaidia kuomba kibali cha kukatiza kwenye hizo anga lakini kwa bahati mbaya, nchi husika hazifanyi kazi Jmosi, na kwahiyo imeshindikana ombi lao la kukatiza kwenye anga zao kushughulikiwa!

The questions are:-

1. Nani ana wajibu wa kuomba vibali vya ndege kuruhusiwa kupita kwenye anga za nchi fulani...

2. Ilikuwajie vibali viombwe leo wakati safari ilifahamika tangu zamani.

3. Ina maana ATCL waliotaka kuwasafirisha Biashara hawakufahamu utaratibu wa kuomba vibali, au sio wajibu wao!!!

Ingawaje sifahamu majibu ya hayo maswali lakini TFF walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuhakikisha hayo hayatokei kwa sababu Biashara hawana uzoefu wa kukata mawimbi!!

Pale Biashara usishangae kukuta viongozi KARIBU wote ndo wameanza kupanda ndege mwaka huu walipoenda Djibouti... sasa ndo watafahamu taratibu za anga hawa!!
Kwani ilikuwa lazima wapitia anga la Sudani?
 
Bashungwa na tff n watu wa hovyo Sana
 
Watanzania acheni kulalamika hovyo Kama mipaka ya Guest house, jukumu la tff sio kutafutia mikopo timu.

By the way hayo ni mashindano ya CAF kwanini msiseme CAF ndio iwatafutie hizo emergency loans kwasababu ndio mwenye mashindano.

Timu inajua ratiba Yake tangu miezi kadhaa nyuma leo wanakwama unazitupa lawama tff.

Huko mkoani wanamotoka si wangechangishana pesa mbona waliahidiwa pesa mechi ya ligi kuu vs Simba.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mkuu, TFF kirefu chake ni tanzania football federation, hiyo inatupa maana kua TFF sio kikoba au wala sacos

Siku nyingine nawashauri wapande basi tu, kmukipiga hesabu almost ni wiki tu washatinga
 
Sasa hayo maswali matatu uliyouliza ndio majukumu ya TFF hayo ?

Hujui Kuna authority za kushughulikia hayo mambo

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Umesoma swali la kwanza, na kuelewa?

Ina maanda endapo kwenye chumba cha mtihani ungeulizwa:-
1. Nani ana wajibu wa kuomba vibali vya ndege kuruhusiwa kupita kwenye anga za nchi fulani...
Kwahiyo jibu lako kwa hilo swali lingekuwa "...uombaji vibali sio jukumu la TFF" wakati unaona kabisa hilo ni open-end question?!

Isitoshe, nimezungumza wazi kwamba, TFF wangeweza ku-handle hii issue kwa sababu Biashara hawana uzoefu na haya mambo!!

Unadhani leo hii Biashara wakichukua Ubingwa wa Shirikisho, unadhani mamlaka ya uombaji vibali vya matumizi ya anga wataorodhesha ubingwa wa Biashara kama moja ya mafanikio yake?! Kinyume chake, utashangazwa siku Wallace Karia akisemama na kusema "...wakati wa uongozi wangu, kwa mara ya kwanza timu kutoka Tanzania ilichukuwa Ubingwa wa Shirikisho Afrika "?
 
Watanzania acheni kulalamika hovyo Kama mipaka ya Guest house, jukumu la tff sio kutafutia mikopo timu.
Kumbe ndo maana umeniuliza maswali yasiyo na msingi kwa sababu inaonesha wazi kwamba hujui hata kilichowakwamisha Biashara FC!!

Kwani umeambiwa Biashara walikosa usafiri hata udai TFF hawawajibiki kutafutia mikopo timu?
 
Kwani ilikuwa lazima wapitia anga la Sudani?
Ni swali ambalo hata mimi baadae nilijiuliza lakini kwa kuona jinsi routes zetu nyingi kama sio zote kupitia Ethiopia, maybe hiyo ikawa ndiyo sababu! Labda my brother from another mother, mzee mwenyewe barafu anawezakupita hapa na kutusaidia kwa hilo swali!
 
Umesoma swali la kwanza, na kuelewa?

Ina maanda endapo kwenye chumba cha mtihani ungeulizwa:-

Kwahiyo jibu lako kwa hilo swali lingekuwa "...uombaji vibali sio jukumu la TFF" wakati unaona kabisa hilo ni open-end question?!

Isitoshe, nimezungumza wazi kwamba, TFF wangeweza ku-handle hii issue kwa sababu Biashara hawana uzoefu na haya mambo!!

Unadhani leo hii Biashara wakichukua Ubingwa wa Shirikisho, unadhani mamlaka ya uombaji vibali vya matumizi ya anga wataorodhesha ubingwa wa Biashara kama moja ya mafanikio yake?! Kinyume chake, utashangazwa siku Wallace Karia akisemama na kusema "...wakati wa uongozi wangu, kwa mara ya kwanza timu kutoka Tanzania ilichukuwa Ubingwa wa Shirikisho Afrika "?
Mechi Yao ya kwanza walishindwa kufika Eritrea on time au umesahau?

Hujui hata taratibu za mpira zilivyo unakuja kubwabwaja tu hapa. Ina maana hao biashara hawajui taratibu za FIFA na CAF kuwa timu lazima ifike walau siku 3 kabla ya siku ya mechi kwasababu ni sheria kuwa lazima timu ifanye mazoezi kwenye uwanja Wa mechi siku 1 kabla ya siku ya mechi.

Azam waliondoka Jumanne siku 4 kabla ya Jana jumamosi Tena waliondoka na ndege ya abiria.

Timu inayocheza na Simba leo wapo Dar leo Ni siku ya nne. Inamaana hao biashara walikuwa hawajui hayo ? Hapo tff wanapataje lawama?

Tff wamepokea Taarifa za biashara siku ya tuzo za tff muda ukiwa umeenda. Yani biashara walishindwa kupanda ndege za abiria tangu Jumanne ? Nayo ilikuwa inahitaji kibali Cha tff ?

Walishindwa kupanda ndege Hadi Algeria halafu wapande Basi hadi Libya ?

Acheni kuwatupia lawama tff wana kasoro zao ila kwa hili No.
 
Tff will fight for Simba only...fucken
Maajabu ya TFF nimeyaona pale ilipopeleka mbele mechi za ligi za Simba inayocheza CAF hapa hapa Tanzania wakati Azam walilazimika kusafiri hadi Egypt na bado mechi yao haikupelekwa mbele!!

Yaani ligi ndo kwanza imeanza halafu tayari unaanza kusogeza mbele baadhi ya mechi kwa sababu za kijinga kabisa!!
 
Mechi Yao ya kwanza walishindwa kufika Eritrea on time au umesahau?
What's your point? Ina maana walikuta marefa wameshakamilisha taratibu zote kabla ya Biashara hawajafika? Ina maana hawakuwahi pre-match meeting?

Au unamaanisha nini hasa hunaposema hawakufika "on time"?! Timu iliyofika saa kadhaa kabla ya mechi, utasemaje hawakufika on time?
Hujui hata taratibu za mpira zilivyo unakuja kubwabwaja tu hapa. Ina maana hao biashara hawajui taratibu za FIFA na CAF kuwa timu lazima ifike walau siku 3 kabla ya siku ya mechi kwasababu ni sheria kuwa lazima timu ifanye mazoezi kwenye uwanja Wa mechi siku 1 kabla ya siku ya mechi.
Sijui taratibu za mpira lakini wewe hujui lolote kwa sababu hapa hatuzungumziii taratibu bali TFF kama kama kiongozi wa association, wanatakiwa kujiongeza kuhakikisha mambo yanaenda! Unatetea ujinga wakati hao hao unaowatetea wanaamua kutumia akili zao wakati ishakuwa too late!!

Kwanini wasingeacha kabisa kwa hoja kwamba sio wajibu wao? Nini kimewafanya watake kufanya walichofanya wakati imeshakuwa TOO LATE?
Azam waliondoka Jumanne siku 4 kabla ya Jana jumamosi Tena waliondoka na ndege ya abiria.
Unaweza kulinganisha uzoefu wa Azam na Biashara kwenye kukata anga?! Unaweza kulinganisha uzoefu wa uongozi wa Azam na ule wa Biashara?
Timu inayocheza na Simba leo wapo Dar leo Ni siku ya nne. Inamaana hao biashara walikuwa hawajui hayo ? Hapo tff wanapataje lawama?
Sasa hilo linahusiana vipi na issue ya kushindwa kupata vibali on time? Unajua utaratibu wa nchi yao kwa hiyo timu katika kuhakikisha timu zao zinasafiri?! Unajua uwezo wa hiyo timu kiuchumi?!
Tff wamepokea Taarifa za biashara siku ya tuzo za tff muda ukiwa umeenda. Yani biashara walishindwa kupanda ndege za abiria tangu Jumanne ? Nayo ilikuwa inahitaji kibali Cha tff ?
Sasa kama sio upumbavu tuite nini? Hivi una habari kwa mujibu wa katiba wa TFF, Clubs ni wanachama wa TFF?! Sasa kutofahamu mwanachama wako yupo katika hali gani ili kutimiza majukumu yake unaona ni jambo la kujivunia?
Walishindwa kupanda ndege Hadi Algeria halafu wapande Basi hadi Libya ? Acheni kuwatupia lawama tff wana kasoro zao ila kwa hili No.
Kwanini basi hao TFF waliosema wameshindwa kupata vibali vya kupitia Sudan, hawakuomba vibali vya kupitia Algeria?
 
The pre-match technical meeting for Al Ahly Tripoli v Biashara United Mara has been concluded. Biashara United, still nowhere to be found. Kick-off is 17:00 GMT. The
Flag of Libya
Libyans will progress to the next stage, if
Flag of Tanzania
Biashara don’t turn up for the game.

View attachment 1984311

View attachment 1984620
No research no comments,tusilaumu bila kufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo hili

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Maajabu ya TFF nimeyaona pale ilipopeleka mbele mechi za ligi za Simba inayocheza CAF hapa hapa Tanzania wakati Azam walilazimika kusafiri hadi Egypt na bado mechi yao haikupelekwa mbele!!

Yaani ligi ndo kwanza imeanza halafu tayari unaanza kusogeza mbele baadhi ya mechi kwa sababu za kijinga kabisa!!
Azam sio watanzania nahisi
 
What's your point? Ina maana walikuta marefa wameshakamilisha taratibu zote kabla ya Biashara hawajafika? Ina maana hawakuwahi pre-match meeting?

Au unamaanisha nini hasa hunaposema hawakufika "on time"?! Timu iliyofika saa kadhaa kabla ya mechi, utasemaje hawakufika on time?

Sijui taratibu za mpira lakini wewe hujui lolote kwa sababu hapa hatuzungumziii taratibu bali TFF kama kama kiongozi wa association, wanatakiwa kujiongeza kuhakikisha mambo yanaenda! Unatetea ujinga wakati hao hao unaowatetea wanaamua kutumia akili zao wakati ishakuwa too late!!

Kwanini wasingeacha kabisa kwa hoja kwamba sio wajibu wao? Nini kimewafanya watake kufanya walichofanya wakati imeshakuwa TOO LATE?

Unaweza kulinganisha uzoefu wa Azam na Biashara kwenye kukata anga?! Unaweza kulinganisha uzoefu wa uongozi wa Azam na ule wa Biashara?

Sasa hilo linahusiana vipi na issue ya kushindwa kupata vibali on time? Unajua utaratibu wa nchi yao kwa hiyo timu katika kuhakikisha timu zao zinasafiri?! Unajua uwezo wa hiyo timu kiuchumi?!

Sasa kama sio upumbavu tuite nini? Hivi una habari kwa mujibu wa katiba wa TFF, Clubs ni wanachama wa TFF?! Sasa kutofahamu mwanachama wako yupo katika hali gani ili kutimiza majukumu yake unaona ni jambo la kujivunia?

Kwanini basi hao TFF waliosema wameshindwa kupata vibali vya kupitia Sudan, hawakuomba vibali vya kupitia Algeria?
Wewe ni mpumbavu TFF waiombee vibali timu inayojitegemea?

Na Azam kwenda misri kucheza mechi yao Jana waliombewa vibali na TFF ?

HAO biashara Wana akili Kama zako ulivyo kichaa.

Jukumu la kuomba vibali na kutoa vibali sio jukumu la TFF ila waliwasaidia tu na hata ujisoma press release yao imeeleza hivyo, kuwa wamefile Request ila maamuzi yabaki kwa CAF.

Point yangu ni kwamba biashara walishindwa vipi kupanda ndege ya abiria Kama walivyofanya Azam Hadi wasubiri siku ya mwisho wakodishe ndege ya ATCL inayohitaji vibali !.... Ina maana gharama ya kukodisha ndege Ni ndogo kuliko kupanda ndege za kibiashara .?

Viongozi wa baishara wasikimbie Ujinga na uzembe wao.
 
Kumbe ndo maana umeniuliza maswali yasiyo na msingi kwa sababu inaonesha wazi kwamba hujui hata kilichowakwamisha Biashara FC!!

Kwani umeambiwa Biashara walikosa usafiri hata udai TFF hawawajibiki kutafutia mikopo timu?
Ndio walikosa usafiri,

Kama wangekuwa na hela walishindwa vipi kupanda ndege za abiria!

Mbona dar wamejaa mawakala kibao wa kukatishia tiketi za ndege Hadi watake kukodisha Ndege binafsi ya ATCL.

Halafu huna unalolijua!

Nenda kafuatilie issue yao ya mechi ya kwanza uje kulalamika kuwa ilikuwa tff Tena mjinga wewe.
 
Nakumbuka Simba na Yanga walipitia Dubai wakati wanaenda Moroko
Ni swali ambalo hata mimi baadae nilijiuliza lakini kwa kuona jinsi routes zetu nyingi kama sio zote kupitia Ethiopia, maybe hiyo ikawa ndiyo sababu! Labda my brother from another mother, mzee mwenyewe barafu anawezakupita hapa na kutusaidia kwa hilo swali!
 
Ndio walikosa usafiri,

Kama wangekuwa na hela walishindwa vipi kupanda ndege za abiria!

Mbona dar wamejaa mawakala kibao wa kukatishia tiketi za ndege Hadi watake kukodisha Ndege binafsi ya ATCL.

Halafu huna unalolijua!

Nenda kafuatilie issue yao ya mechi ya kwanza uje kulalamika kuwa ilikuwa tff Tena mjinga wewe.
Yaani hapo ndo unajiona kuna unachojua?

Kujua kwamba kama wangekuwa na hela walishindwa vp kupanda ndege ya abiria ndo tayari ushajiona mjuzi!!

Kama mimi ni mjinga basi wewe utakuwa ndo mpumbavu usiye na akili japo chembe!

Ni mpumbavu kwa sababu hao TFF unaowatetea wamefanya tunachosema wameshindwa nini kufanya mapema zaidi

Lakini kwavile wewe ni mpumbavu, ndo maana unashindwa kujua hoja hapa ni nini hasa... STUPID!!
 
Wewe ni mpumbavu TFF waiombee vibali timu inayojitegemea?
Dadangu acha matusi!! Nimeuliza ni nani ana wajibu wa kuomba vibali, how come unang'aninia suala la TFF? Au unafi'rwa na watu wa TFF kwahiyo umekuja hapa kutetea upumbavu wao bila kuelewa?!
Na Azam kwenda misri kucheza mechi yao Jana waliombewa vibali na TFF ?

HAO biashara Wana akili Kama zako ulivyo kichaa.
Angalia ulivyo mpumbavu!!! Bila shaka unaongea huku ukiwa umekalia mpini wa unaowatetea... kima wewe!!

Ni ubo'ro unaopigwa na watu wa TFF ndo unakufanya uwe mpumbavu kiasi hiki, ama?
Jukumu la kuomba vibali na kutoa vibali sio jukumu la TFF ila waliwasaidia tu na hata ujisoma press release yao imeeleza hivyo, kuwa wamefile Request ila maamuzi yabaki kwa CAF.
We mbwa elewa kinachoongelewaa, kima wewe!!Hivi sasa ndo unajua habari za vibali wakati ulisema wamekosa usafiri?!Hivi una akili wewe kenge?
Point yangu ni kwamba biashara walishindwa vipi kupanda ndege ya abiria Kama walivyofanya Azam Hadi wasubiri siku ya mwisho wakodishe ndege ya ATCL inayohitaji vibali !.... Ina maana gharama ya kukodisha ndege Ni ndogo kuliko kupanda ndege za kibiashara .?

Viongozi wa baishara wasikimbie Ujinga na uzembe wao.
Huna cha point, kima wewe
 
Back
Top Bottom